Skip to main content

Posts

Showing posts from November 16, 2015

MAGAZATI LEO JUMANNE

SHULE YA KIMATAIFA IRINGA YASHAURI MABORESHO KATIKA SEKTA YA ELIMU

SHULE ya Kimataifa ya Iringa imetoa wito kwa serikali ya Dk John Magufuli kuanzisha mpango maalumu wa uingizaji na utumiaji wa teknolojia mbalimbali mpya kwa maendeleo ya nchi kwa kutoa ufadhili wa elimu kwa makundi mbalimbali ya wanafunzi watakaoplekwa katika nchi zenye teknolojia hizo. Pamoja na mpango huo, shule hiyo imeiomba serikali hiyo kutumia utajiri wa gesi ya Mtwara kuendelea kuboresha mazingira na mifumo ya utoaji wa elimu nchini ili iwiane na nchi zilizopiga hatua kubwa katika sekta hiyo. Hayo yalisemwa na mjumbe wa bodi ya shule hiyo, Edwin Port kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya shule hiyo yenye wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari zaidi ya 100, yaliyofanyika shuleni hapo juzi. Mkuu wa Utawala wa shule hiyo, Jean Milliken alisema; “Kwasababu shule yetu ni ya kimataifa, tumekuwa na kawaida kila mwaka kuwa na siku hii, tunasheherekea utaifa wetu kwasababu tunatoka mataifa mbalimbali.” Mill...

TPHA CHAWAOMBA WADAU KUTOA USHIRIKIANO ILI KUPAMBANA NA MATUMIZI TUMBAKU KWA VIJANA

Dk. Adeline l. Kimambo(kulia) kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) akitoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku mbele ya waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa waliofika kujadili changamoto wanazokabiliwa nazo hasa wanapokuwa wanatoa huduma kwa jamii kuhusu matumizi ya Tumbaku na kuwaomba wadau hao kutoa ushirikiano wa kutosha ili kufikia malengo waliyojiwekea.Katikati ni Dk Faustine Njau kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog) Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga(kushoto) akizungumza jambo kwenye kikao kilichowashirikisha wadau mbalimbali kutoka katika manispaa za jijii la Dar es Salaam kuhusu kushirikiana na wadau mbalimbali hasa kutoka katika manispaa za jiji hilo ili kudhibiti matumizi na madhara ya Tumbaku hapa nchini na kusisitiza kushirikiana ili kupambana na janga hili hapa nchini linalopelekea kupoteza nguvu kazi kubwa. Dk. Faustine Njau kutoka Chama cha Afya ya Jamii (TPHA)...

Iringa International School (IIS) celebrates it international night in style

The Head of Administration of the Iringa International School (IIS), Jean Milliken (2nd L) speaks to the members of media before the start of celebration of International Night yesterday which was a fiftieth anniversary since the school started in 1993. She was accompanied by Education Board Member, Edwin Port (on the extreme left). A cross section of pupils at Iringa International School (IIS), performing on the stage during the  celebration of International Night which is a fiftieth anniversary since the school started yesterday.  Iringa International School (IIS) has called on the government of Dr John Magufuli to establish a special program to importation and use of various new technologies for the development of the country to provide educational funding for various categories of students by taking them to learn in countries with such technology.  According to the Iringa International School (IIS) Education Board Member, Edwin Port, the sc...