Skip to main content

Posts

Showing posts from March 16, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

MAGAZETI YA LEO IJUMAA KWA HISANI YA CHOCOLATE IVORI

WANANCHI WA KIJIJI CHA IDETE WILAYANI KILOLO YALIA NA UKOSEFU WA ZAHANATI

Na Friday Simbaya, Kilolo OFISA Tathimini na Ufuatiliaji wa Shirika la MMADEA kupitia mradi wa afya bora kwa ustawi wa jamii, Hezron Kalolo amewataka viongozi wa serikali za kijiji na wananchi kwa ujumla kujenga mazoea ya kuweka akiba ya fedha zitakazowasaidia pindi wanawake wanapo karibia kujifungua na baada ya kujifungua badala ya kusubiri serikali. Alisema kuwa pamoja na changamoto zilizopo zinazowakabili wananchi wa vijiji mbalimbali, lakini shirika la MMADEA linatoa elimu juu ya afya ya uzazi na madhara ya mimba za utotoni katika vijiji kumi na moja (11) vya mradi. Hezron alisema haya jana kuwa mradi huo unatekelezwa katika kata za Idete, Nyanzwa na Ibumu kupitia ufadhili wa shirika la Foundation for Civil Society (FCS), huku wakifanya kampeni ya kuibua uelewa wa watu juu ya changamoto za sekta ya afya. Alisema kuwa Wilaya ya Kilolo ni moja ya wilaya ya Mkoa wa Iringa yenye changamoto ya mimba za utotoni na ndoa za utotoni ambapo wasichana wengi hup...

TANGA UWASA INAHITAJI BILIONI 15 KUTEKELEZA MPANGO WA KUSAFISHA MAJITAKA

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)Mhandisi Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga kuhusu maadhimisho ya wiki ya Maji Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akizungumza jambo wakati wa kikao hicho leo Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)Mhandisi Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tanga kuhusu maadhimisho ya wiki ya Maji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa kulia akiteta jambo na Meneja Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka hiyo,Haika Ndalama. Waandishi wa Habari Mkoani Tanga wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa ambaye hayupo pichani. Waandishi wa Habari Mkoani Tanga wakifuatilia hotuba y...

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMUANGUKIA WAZIRI MWIJAGE

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na waandishi wa Habari ambao hawapo pichani kuhusiana na suala hilo Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pandey akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutotoa kibali cha ubora unaohitajika na hivyo kusitisha uzalishaji Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro ,Vivek Pandey kushoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutokutoa kibali cha ubora unaohitajika wa kiwanda hicho na hivyo kusitisha uzalishaji kulia ni Msimamizi wa Kiwanda hicho,Paskal Dimelo Msimamizi wa Kiwanda cha kuzalishaji Saruji Mkoani Tanga cha Kilimanjaro, Paskal Dimelo akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutokutoa kibali cha ubora unaohitajika na hivyo kusitiza uzalishaji wake kushoto ni Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pan...