Skip to main content

Posts

Showing posts from January 27, 2016

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI KWA HISANI YA MWENGA HYDRO

POLISI MKOANI IRINGA WAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NANE

JESHI la Polisi Mkoani Iringa Kwa kushirikiana na Jeshi la uhamiaji limewashikilia wahamiaji haramu nane wambao wameingia nchini bila kibali huku raia hao wakiwa ni raia wa nchini Ethiopia wakiwa wamepakizwa kwenye gari ambayo inayotumika kubeba Magazeti ya Kampuni Mwananchi Comunication Ltd iliyokuwa ikitokea Jijini Dar Es Salaam kwenda Jijini Mbeya.   Gari hiyo ilikamatwa leo katika eneo la kizuizi cha polisi cha ukaguzi wa magari Igumbilo (Cheki Point) Manispaa ya Iringa majira ya saa 11 alfajiri wakati askari wa jeshi hilo wakiwa doria. Akithibitisha kukamatwa kwa wahamiaji hao kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Peter Kakamba alisema wakiwa katika ukaguzi wa kukagua magari walilikamata gari hiyo aina ya Toyota Hiace yenye namba za usaliji T.745 DED. Kamanda Kakamba aliwataja madereva waliokuwa wakiendsha gari hiyo kuwa ni Godfrey Kaka (32) akiwa na msaidizi wake Michael Jafet (37) wote wakazi wa Jijini Dar Es Salaam. Alisema kuwa ndani ya gari hiyo alikutwa Elias Patson ...

Donald Trump will boycott next Republican debate

The Republican frontrunner will instead host an event in Iowa to raise money for veterans after Fox News released a press release he viewed as derogatory Ben Jacobs in Marshalltown, Iowa and Sabrina Siddiqui in Fairfield, Iowa Wednesday 27 January 2016 00.54 GMT Last modified on Wednesday 27 January 2016 08.12 GMT Donald Trump made clear in a press conference in Marshalltown, Iowa, that he would not participate in a Fox News debate after the network sent out a press release that he viewed as derogatory. His campaign released a statement saying he will not be participating in the debate and will instead host an event in Iowa to raise money for “the Veterans and Wounded Warriors, who have been treated so horribly by our all talk, no action politicians.” “Like running for office as an extremely successful person, this takes guts and it is the kind mentality [sic] our country needs in o...

KAMPUNI YA MAGARI YA ALLIANCE AUTOS WAFANYA MAONYESHO NDANI YA JENGO LA GOLDEN JUBILEE TOWER (PSPF)

Gari aina ya Amarok Pick up ikiwa katika maonyesho ya mauzo ndani ya jengo la Golden Jubilee Towers ambapo maonyesho hayo ambayo yanaenda sambamba na uuzwaji wa magari hayo yanaendelea hadi hapo kesho jioni kwa 'showroom' hiyo. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog). Amarok Pick up inavyoonekana kwa ubavuni.. Amarok Pick up inavyoonekana upande wa nyuma.. Gari aina ya Touareg ambayo katika 'showroom' hiyo ya jengo la Jubilee Towers jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana. Kwa mujibu wa Meneja Masoko wa kampuni ya magari ya Alliance Autos, ambao ni wauzaji wa magari ya Volkswagen Tanzania (VW), Sheikha Said amebainisha kuwa, maonyesho hayo ya magari na mauzo yaliyoanza jana 26 Januari, yanatarajiwa kufikia tamati siku ya kesho 28 katika jengo hilo la Golden Jubilee Towers. "Magari yaliyo kwenye 'showroom' hii ya ndani ya jengo la Golden Jubilee Towers ni pamoja na Amarok Pick up na Touareg. Tumeyaleta karibu zaidi na wateja wetu wapate kuyaona na kujua ...

THE TONY ELUMELU FOUNDATION, UNITED BANK FOR AFRICA PLC AND THE UNITED STATES DEPARTMENT OF COMMERCE PARTNER TO ENABLE ENTREPRENEURSHIP IN AFRICA

U.S Secretary of Commerce, Penny Pritzker; Select Tony Elumelu Foundation Entrepreneurs; Kehinde Yinusa, Evans George, Nosakhare Oyegun, Belema Alagun and Founder Tony Elumelu Foundation, Mr. Tony Elumelu during the panel and roundtable discussion between members of the U.S. Presidential Advisory Council on Doing Business in Africa (PACDBIA) and a diverse community of entrepreneurs hosted by Tony Elumelu Foundation and UBA Plc in Lagos yesterday. Group Managing Director United Bank for Africa (UBA) Plc, Mr. Phillips Oduoza; US Secretary of Commerce, Penny Pritzker; UBA Chairman, Mr. Tony Elumelu during the panel and roundtable discussion between members of the U.S. Presidential Advisory Council on Doing Business in Africa (PACDBIA) and a diverse community of entrepreneurs hosted by Tony Elumelu Foundation and UBA Plc in Lagos yesterday. The Tony Elumelu Foundation and United Bank for Africa Plc (UBA) partnered with the United States Department of Commerce to...