Bw. Abasi Zuberi Mtemvu Mgombea Mbunge katika Jimbo la Temeke kupitia tiketi ya CCM (mwenye mkono juu na vazi ya kijani la CCM katikati) akilakiwa na wanacchama na wananchi katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi 2010 uliyofanuika Kata ya Azimio jijini Dar es Salaam.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.