Skip to main content

Posts

Showing posts from March 5, 2018

WORLDSHARE BUILDS GIRLS DORMITORY TO REDUCE THE PROBLEM OF PREGNANCY

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki Dkt Augustine Mahiga.(katikati mwenge suti nyeusi) akipata maelezo ya ujenzi wa maabara ambao unaendelea kutoka kwa Mkuu wa shule ya sekondari kidamali Sixtus Kanyama (kushoto) ambayo ipo katika kata ya nzihi wilayani Iringa, mkoani Iringa akiambatana na maafisa toka ubalozi wa Korea kusini na maafisa wa shirika la world share la Korea kusini jana. Shirika la world share linatalajia kujenga hosteli ya wasichana lenye uwezo la kubaba wanafunzi za ya 200 katika mkakati wa kupunguza tatizo la mimba kwa watoto wa kike. (Picha na Friday Simbaya) World share country director, Tanzania Kim, Yunsung is trying to open a dry water tap at Kidamali Secondary School in Iringa district, Iringa region yesterday. The school is facing an acute water problem since the broken down of water project at school but he has promised to fix the the problem immediately. (PHOTO BY FRIDAY SIMBAYA) IRINGA: The W...

WORLDSHARE KUJENGA HOSTELI YA WASICHANA KUPUNGUZA MIMBA SHULENI

Shirila lisilo la kiserekali la WorldShare toka Korea Kusini limeanza ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya sekondari Kidamali iliyopo katika kata ya Nzhi wilayani Iringa, mkoani Iringa ilikupunguza tatizo la mimba kwa wanafunzi wa kike.  Hayo yalifahamika jana wakati Mkuu wa Shule ya Sekondari Kidamali Sixtus Kanyama alipokuwa anatoa taarifa ya shule hiyo kwa maafisa toka ubalozi wa Korea Kusini na maafisa wa shirila la worldshare na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.  Alisema kuwa shule hiyo inakabiliwa na tatizo la mimba kwa watoto wa kike kutokana na kutokuwepo hosteli ya wasichana ambapo wanafunzi wanalazimika kupanga vyumba mitaa na kukumabana na vishawishi mbalimbali.  Kanyama alisema kuwa Shule ya Sekondari Kidamali inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo mimba kwa watoto wa kike kwa kuwa wingi wao wamepanga vyumba na kuishi pekee yao bila ulinzi.  Alisema kuwa wanafunzi wengi wanatembea...