Skip to main content

Posts

Showing posts from December 16, 2015

8 Common Pregnancy Sleep Problems (and Solutions!)

Everyone keeps telling you to “get your sleep now” — but how is that possible with pregnancy sleep-stealers like heartburn and restless legs syndrome? Here are some tips for overcoming the most common pregnancy sleep problems. Getty Images You expected sleep deprivation to come with having a baby — but chances are, you didn't expect it to come until you'd had the baby. Now you know: It's almost as hard to get a good night's sleep during pregnancy as it is when you're a new parent. In fact, according to a 2014 study , a whopping three in four women experience sleep problems at some point during pregnancy (usually at many points). With all that’s going on in your body — and brain — it’s no wonder that a solid night’s sleep is so hard to get. But there is something you can do about it. Here are a few of the most common sleep-busting conditions along with tips to overcome them. HAVING TO PEE…AGAIN When it happens: Usually in the first and third t...

MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA KUPAMBANA NA KUZUIA RUSHWA EDWARD HOSEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah kutokana na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bwana VALENTINO MLOWOLA kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU. Balozi Sefue amebainisha kuwa, Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kujiridhisha kuwa utendaji kazi wa TAKUKURU chini ya Dkt. Edward Hoseah hauwezi kuendana na kazi anayoitaka. “Eneo mojawapo la upotevu mkubwa wa mapato ya serikali ni Bandarini na Katika Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Hivyo Mheshimiwa Rais amesikitishwa na kitendo cha taarifa za kuwepo kwa vitendo vya rushwa katika eneo hi...

DIWANI WA CHADEMA AUNGA MKONO JITIHADA ZA JPM ZA KUBANA MATUMIZI

IRINGA: Diwani wa Kata ya Gangilonga Jimbo la Iringa Mjini, Dady Igogo (Chadema) pichani ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais Dk. John Pombe Magufuli katika kubana matumizi yasiyokuwa ya lazima katika kuhakikisha kuwa fedha zinaelekezwa katika miradi ya kimaendeleo. Diwani huyo alisema kuwa posho za vikao ni ugonjwa wa ufisadi unalolitafuna taifa hili hususan kwa watendaji wa mashirika ya umma, watendaji wa serikali kuu, wabunge na madiwani. Akizungumza na SIMBAYABLOG mjini Iringa leo diwani huyo alisema kuwa anayo dhamira ya dhati yakuazimia kutopokea posho za vikao kwa kipindi cha miaka mitano ya utumishi wake, na badala yake posho hizo zielekekezwe kwenye eneo la kusaidia vituo vya watoto yatima. Alisema kuwa katika kuunga mkono Rais Magufuli wa awamu ya tano ameamua kutopekea posho za vikao kwa kipindi cha miaka mitano ya utumishi wake, na badala yake pesa hiyo zisaidie watoto yatima kwenye Kata ya Gangilonga. Alisema kuwa suala hilo tayar...

MO DEWJI FOUNDATION YATOA MSAADA WA MIL. 110/- KWA TAASISI INAYOWASAIDIA WATOTO WENYE KANSA

Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera na Wa pili kushoto ni Ofisa anayesimamia utekelezaji wa Programu wa Taasisi ya Tumaini la Maisha , Lilian Ndyetabula. Afisa Mahusiano wa Taasisi ya MO Dewji, Zainul Mzige (kulia) akisoma taarifa kuhusu madhumuni ya kuanzishwa kwa MO Dewji Foundation pamoja na kazi wanazofanya katika kusaidia jamii ikiwemo sekta ya Afya na Elimu. Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera (kushoto) akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa MO Dewji Foundation na kuwaomba kuendelea kushirikiana nao wakati...