Skip to main content

Posts

Showing posts from February 17, 2017

MAGAZETI YA LEO TZ

MAGAZETI YA LEO KWA HISANI YA IVORI CHOCOLATE, BIDHAA BORA KABISA!

UNDP WAKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA WASICHANA ...

Mwakilishi wa Mashirika ya Kimataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alavaro Rodriguez (katikati) akiwa ameongozana na Mkurugenzi anayesimamia Mashirika ya Umoja wa Mataifa ,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Balozi Celestine Mushi (kushoto) na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ya mkoani Kilimanjaro,Rosalia Flavian wakiingia katika ukumbi wa shule hiyo kwa ajili kongamano. Wanafunzi wa kidato cha Tano na Sita pamoja na wageni wakiimba wimbo kabla ya kuanza kwa kongamano hilo lililolenga kuzungumzia juu ya Malengo ya Maendeleo endelevu . Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru ,Rosalia Flavian akizungumza wakati wa Kongamano hilo.  Baadhi ya Walimu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru wakifuatilia maelezo ya awali yaliyotolewa na Mkuu wa Shule hiyo.  Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru akiteta jambo na Mwakilishi wa Mashirika...