Skip to main content

Posts

Showing posts from February 21, 2015

SIDO IRINGA YAWAKOPESHA WAJASIRIAMALI WADOGO ZAIDI YA SH MILIONI 229.9

Na Fredy Mgunda, Iringa SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July mpaka Desembea mwaka jana.