Skip to main content

Posts

Showing posts from February 10, 2016

ZIJUE AINA TANO ZA MITUNGI YA KUZIMIA MOTO

1.MTUNGI WA MAJI (WATER) Mtungi huu una rangi NYEKUNDU wote. Mtungi huu hautumiki kuzimia moto wa umeme  au mafuta, ila unazima aina nyingine zote za moto. Mtungi huu ni hatari sana  kuutumia kwenye moto wa umeme 2. MTUNGI WA KABONDAYOKSAIDI (CO2) Mtungi huu hutumika kuzima aina nyingi za moto ukiwamo umeme. Ni mwekundu  lakini una lebo NYEUSI kama kitambulisho chake. Wakati wa kuzima moto usishike  mwishoni mwa bomba kwakuwa gesi inayotoka ni ya  baridi sana unaweza kuganda. 3. MTUNGI WA POVU (FOAM) Mtungi huu una rangi ya KRIMU kama kitambulisho  chake. kwingine kote ni mwekundu. Unazima moto wa vitu vya majimaji pamoja na  vitu vigumu. 4. MTUNGI WA PODA (POWDER) Mtungi huu una lebo ya BLUU kama kitambulisho  chake. Unaweza kuzima moto wa gesi, majimaji, na vitu vigumu. 5. MTUNGI WA DAWA/KEMIKALI (Chemical) Mtungi huu una lebo ya NJANO kama kitambulisho chake. Unazima aina nyingi za moto ukiwamo wa m...

NEC YASEMA ELIMU YA MPIGA KURA HAIKUWAFIKIA BAADHI YA WANANCHI NCHINI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC imebainisha  kwamba, ukosefu wa elimu ya kutosha kwa Wapiga Kura, ulisababisha mapungufu  mbalimbali kujitokeza katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25 Mwaka jana. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo  Kailima Ramadhani (Pichani juu) aliyasema hayo jana Jijini Mwanza, katika Mkutano wa  tathmini kati ya NEC na Asasi za Kiraia kuhusu utoaji wa elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka jana. Ramadhani alisema katika baadhi ya  Kata nchini, kulitokea mapungufu kadhaa katika zoezi la kupiga kura ikiwemo Kura  kuharibika kutokana na wapiga kura kuchora michoro na alaza zisizostahili  katika karatasi ya kupigia kura huku baadhi yao wakiandika matusi katika  karatasi hizo. Hata hivyo Kailima alitanabaisha  kwamba, zoezi la utoaji wa elimu kwa mpiga kura, lilishindwa kufanikiwa zaidi kutokana  na baadhi ya Asasi za kiraia nchini kutoa elimu kinyume na mwongozi wa NEC, ambapo...

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI