Mgodi wa Dhahabu Geita (GGML) umeadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Kaulimbiu ya Sikuya Malaria Duniani mwaka huu ni Kuwa Tayari Kuishinda Malaria. Mgodi wa Dhahabu Geita (GGML) unaendelea na mkakati wa kupunguza Malaria kwenye jamii ya Geita. Jitihada hiyo inachangia juhudi za Dunia kufikia malengo ya Mkakati wa Dunia kwa Ugonjwa wa Malaria uliowekwa na Shirika la (WHO) kuwa ifikapo mwaka 2020 Dunia yote ipunguze Malaria na vifo vitokanavyo na Malaria kwa asilimia 40. Mgodi wa Dhahabu Geita (GGML) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mji wa Geita ilizindua mpango wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria mwaka 2010 wa kunyunyuzia Dawa ya Ukoko kwenye kaya mbalimbali mjini Geita. Kwa sasa kwenye mwaka wake wa Sita katika Kampeni hiyo kiasi cha US$ 900,000 kimetengwa katika Mpango huo. Utafiti uliofanywa na Ofisi ya Afya ya Mkoa wa Geita umebaini kushuka kwa takwimu za Ugonjwa wa Malaria kuanzia mwaka 2...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.