Skip to main content

Posts

Showing posts from April 13, 2016

Watanzania watakiwa kutumia mobile banking kukuza uchumi wao

Na Rabi Hume, Modewjiblog Kutokana na kukua kwa huduma za kibenki kupitia simu za mkononi (mobile banking), Watanzania wametakiwa kutumia nafasi hiyo vizuri ili iweze kuwasaidia kukuza uchumi wao. Akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa siku mbili unaozungumzia maendeleo ya sekta za fedha kwa kutumia mifumo ya huduma za kibenki kwa kutumia mitandao ya simu (Africa Digital Banking Summit), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema ni muda muafaka kwa Watanzania kutumia huduma hizo kwa ajili ya kujiongezea kipato. Alisema kupitia huduma hizo, Watanzania wanaweza kutuma nakupokea pesa kutoka maeneo mbalimbali hata ambayo yapo mbali na matawi ya benki hivyo wanaweza kufanya shughuli mbalimbali ikiwepo kufanya biashara kwa kutumia huduma hizo. “Serikali imeunganisha nchi nzima na mkongo wa taifa na hii inawapa fursa watanzania kutuma pesa sehemu yoyote hivyo niwasihi watanzania kutumia kikamilifu nafasi hiyo ili kuboresha uchumi wao,” ...

NEMC MBEYA ZONAL OFFICE TO FINE CULPRITS OF NOISE AND VIBRATION VIOLATORS

National Council of Conservation and Environmental Management (NEMC), Mbeya Zonal Office intends to begin implementing the principles of the noise and vibrations levels of 2015 in order to control noise pollution and vibrations.  Speaking with The Guardian yesterday in an exclusive interview the Mbeya Zonal Office Coordinator, Godlove Mwamsojo said now anyone who would make a festive in the street, playing music to noise, or worship in the street to noise, will have to pay 10 million shillings. Mwamsojo said NEMC has received many complaints from citizens of various areas of the hassles associated with noise and vibrations from certain economic and social activities. "The Council also direct t that anyone found harassing arising from the noise and vibrations beyond the standards set to report to the council - the Office of the Mbeya region," said Mwamsojo. Also, he said that pubs, dance halls and night clubs that will make noise, they will pay that much becau...

TANCOAL Reforests Mbinga District

MBINGA: TANZANIA Coal Mining Company Limited ( TANCOAL) is organized to preserve the environment which was destroyed due to the coal mining activities at Ngaka Coal Mine, Mbinga District in Ruvuma region, the Guardian has revealed. The energy company has so far established a nursery of trees for planting in villages and institutions surrounding the Coal Mine to compensate the lost trees. The Environmental Officer of TANCOAL, Joseph Robert on behalf of Environment and Safety Manager Eng. Felix Dida made the statement during the Tree Planting exercise held recently in villages and public institutions surrounding the mine at Ruanda Ward in Ngaka area of Mbinga District, Ruvuma Region. Robert said that the exercise was done good faith to compensate for the cut down trees as results of coal mining, adding that an estimation of 300 trees loss a year. He said so far they have planted trees in the villages of Paradiso, Camp, Ruanda, Mkeso Amani, Makolo and Ntunduaro. ...

NEMC kuanza kutekeleza kanuni za viwango vya kelele na mitetemo mwaka 2015

MBEYA: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Nyanda za Juu kusini linakusudia kuanza kutekeleza kanuni za viwango vya kelele na mitetemo mwaka 2015 kwa kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo, imeelezwa. Akiongea na nipashe jana katika mahojiano maalumu ofisini kwako mratibu wa kanda, Godlove Mwamsojo alisema kwa sasa mtu yeyote atakaye kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki kwa kelele, au kufanya ibada kwa kelele mitaani, atapaswa kulipa Sh milioni 10. Mwamsojo alisema NEMC imekuwa ikipokea malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wa maeneo mbalimbali kuhusu bughudha zinazotokana na kelele na mitetemo kutoka kwenye baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii. “Baraza pia linaagiza kuwa mtu yeyote atakayepata bugudha zinazotokana na kelele na mitetemo zaidi ya viwango vilivyowekwa watoe taarifa kwa baraza – Ofisi ya kanda Mbeya,” alisema Mwamsojo. Pia, alisema kuwa baa na kumbi za starehe za usiku zitakazopiga kelele, zitapasw...

Gay stewards tell Air France 'don't make us fly to our death in Iran' in row over new route

Gay stewards are demanding the right not to fly to IranReuters By  Harriet Sinclair Gay air stewards from Air France are demanding the right to refuse to fly to Iran when the airline begins operating the route again because homosexuality is punishable by death in the country. The carrier is set to resume flights to the Islamic Republic on 17 April, after an eight-year hiatus, but gay cabin crew want the right to opt out of the route. Why advertise with us The gay stewards' online petition follows a row that erupted after new rules were introduced on the French carrier stating that women must cover their hair during trips to Iran. After a backlash, Air France agreed that women could refuse to fly the route, and in a petition on change.org entitled "We don't want to fly to death in Iran" gay stewards want the same choice. The petition was illustrated with the image of a hangingChange.org The petition, started by Laurent M, said: "Air...

METTE-MARIT AITAKA JAMII KUWA NA MTAZAMO TOFAUTI KWA WATU WANAOISHI NA UKIMWI

Balozi wa Kimataifa wa UNAIDS, Mette-Marit akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kazi anazofanya kama balozi wa UNAIDS kwa kipindi cha miaka 10 tangu aanze kazi hiyo. (Picha na Rabi Hume wa Modewjiblog ) Katika kuhakikisha watu wanaoishi na UKIMWI wanaishi kwa furaha bila kunyanyapaliwa na watu wanaowazunguka, jamii imetakiwa kuwa na mtazamo tofauti kwa watu wanaoishi na ugonjwa huo. Hayo yalisemwa na mke wa mtoto wa mfalme wa Norway, Mette-Marit ambaye pia ni balozi kimataifa wa Shirika la Umoja la kupambana na HIV na UKIMWI (UNAIDS) wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kazi anazozifanya kwa UNAIDS kama balozi ambaye anazunguka maeneo mbalimbali duniani ili kuelimisha jamii kuhusu UKIMWI. Mette-Marrit alisema kuwa watu wenye UKIMWI ni kama watu wengine hivyo wana haki ya kupata huduma bila kunyanyapaliwa ili waweze kuishi kwa uhuru kama watu wengine na ili kufanikisha hilo ni wajibu wa kila mtu kuwasaidia waathirika. “Watu kuwa na UKIM...