Skip to main content

Posts

Showing posts from November 16, 2017

AMKA NA MAGAZETI YA LEO NA TUMBUSI BLOG

DC KASESELA AONGOZA OPRESHENI KWA WAFANYABIASHARA WASIOTUMIA EFD

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongozana na meneja wa TRA na maafisa wake mkoa wa Iringa akikagua matumizi ya mashine za kutolea risiti. NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameongoza opareshEni kubwa ya kuwasaka wafanyabiashara wasiotumia risiti za mashine (EFD) katika madukani mbalimbali manispaa ya Iringa. Katika oparesheni hiyo iliyofanywa katika eneo la Miyomboni ilihusisha wafanyabiashara wa maduka mbalimbali ambapo wengi wao wamekutwa na makosa ya kutotumia mashine hizo katika uuzaji wa bidhaa au wakati mwingine kuandika bei ya chini kuliko bidhaa. Akizungumza mara baada ya oparesheni hiyo, Kasesela amewataka wafabiashara kutumia mashine za kutolea risiti kila wanapouza bidhaa zao na jamii kudai risiti kila wakati baada ya kubaini asilimia kubwa hawatumii EFD mara kwa mara.. Alisema kuwa serikali inawategemea sana wafanyabiashara kulipa kodi lakini serikali haitasita kuwachukulia hatua wafanyabiashara wasi...

Zimbabwe crisis is wake up call for SADC-HH

HH speaking to Journalists outside the Supreme Court UPND president Hakainde Hichilema says the current political situation in Zimbabwe is a wake-up call for SADC which he said has not been proactive in dealing with human rights issues in member countries. Mr Hichilema said the SADC has adopted a laissez-faire attitude when handling issues of poor governance. He was speaking to journalists at the Supreme Court grounds today after attending a Constitutional Court hearing in Margaret Mwanakatwe’s appeal against the nullification of her Lusaka Central parliamentary seat which Charlotte Scott had successfully petitioned. “This is a wakeup call to SADC which has taken a laissez-faire attitude in pro actively dealing with concerns of citizens of our region. The Economic Community for West African States is doing much better in this area, ECOWAS is more proactive and it takes interest in cases to do with abuse of human rights, liberties and freedoms. It takes interest in t...

MBOWE AWATAKA KITWIRU KUFUNGUA VYUMA KWA KUINYIMA KURA CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amewataka wapiga kura wa kata ya Kitwiru, Mjini Iringa kupeleka ujumbe wa hali ngumu ya maisha kwa Rais Dk John Magufuli kwa kumchagua mgombea wa chama chake kuwa diwani wa kata hiyo. “Wakati wananchi wakilalamika vyuma vimekaza, watu hawana hela mifukoni, manunuzi yanapungua na baadhi ya biashara ndogo, za kati na za wawezekazaji wakubwa zikifungwa, kuna baadhi ya madiwani wa upinzani wananuliwa kwa kati ya Sh Milioni 2 na Milioni 5 halafu hela za kodi zinazolipwa na watanzania masikini zinatumika kuitisha chaguzi ndogo kwa gharama kubwa,” alisema. Mbowe alisema Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikitumia hadi Sh Milioni 200 kugharamia uchaguzi wa kata moja ambayo diwani aliyekuwepo ananunuliwa kwa Sh Milioni 5. Akizungumzia hali ya maisha ya mtanzania kwasasa Mbowe aliwauliza mamia ya wanachi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni uliomnadi...

STEP WATOA VIFAA VYA DORIA KWA HIFADHI YA MAZINGIRA ASILI UZUNGWA SCARP

Mkurugenzi wa shirika la Southern Tanzania Elephant Project (STEP) Dkt. Trevor Jones (kushoto) na Mhifadhi Mazingira Asili Uzungwa Scarp Mkiramweni Nzinyangwa wakibadilishana hati baada kusaini mkataba wa msaada wa vifaa vya doria uliyotolewa na STEP kwa ajili ya kusaidia kufanikisha doria katika hifadhi mazingira Asili ya Uzungwa jana. Anayeshuhudia ni Menja wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Florian Mkeya (picha na Friday Simbaya) WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wamepongeza shirika la Tanzania southern elephant project (STEP) kwa kutoa vifaa mbalimbali kwa ajili ya doria kwa hifadhi ya uzungwa scarp ya mkoani iringa venye thamani ya shilingi milioni kumi (10m/-). Meneja Misiti wa TFS kutoka makao makuu Dar es salaam Florian Mkeya, ambaye alikuwa mgeni rasmi alisema hayo jana wakati akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya hifadhi ya mazingira asili uzungwa scarp (USNFR). Alisema kuwa vifaa hivyo vitasadia kufanikisha doria katika hifad...