Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba mwaka huu, Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Mjini Iringa kimefukuzwa na kutolea vyombo vya nje na Majembe Auction Mart-vijana wa kazi leo baada ya kushindwa lipa kodi pango la ofisi yao ya Shilingi milioni 2,483,624.64 wanalodaiwa na shirika NSSF leo. TLP walipanga katika jengo la NSSF lakini walikuwa hawajalipa kodi ya panga kwa mwaka miwili na hivyo vyombo vyao kuchuliwa na Majembe ilikufidia deni na hatimaye kupiga kufuli ofisi hiyo.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.