Skip to main content

Posts

Showing posts from October 13, 2015

KUMBUKUMBU YA MIAKA 16 KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 16 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. R.I.P BABA WA TAIFA DAIMA TUTAKUKUMBUKA, kiukwel nikisikilizaga speech za Baba wa Taifa huwa machozi yananilenga kama si kunitoka, hakika alkuwa mtu wa pekee, DUNIA nzima sijaona, MUNGU ampumzishe mahali pema peponi. (FIKRA ZA MWALIMU ZIDUMU-SIMBAYABLOG)

AMKA NA MAGAZETI NA SIMBAYABLOG LEO JUMATANO!

MO TO ATTEND LARGEST NORDIC-AFRICAN BUSINESS SUMMIT

Mr. Mohammed Dewji, Group Chief Executive Officer, Mohammed Enterprises Tanzania (MeTL Group). For the fifth consecutive year, The Norwegian-African Business Association ( NABA ) will host the largest Nordic-African business summit. 500 Scandinavian and African experts from finance, renewable energy, agriculture, ITC, fisheries, oil and gas sectors will gather at RaddisonBLU Scandinavian Hotel in Oslo on Thursday, 29 October 2015 to discuss how Nordic capabilities can be linked with African opportunities. Africa's future economy hosts the world's youngest and fastest growing urban population. Africa's economy must facilitate rapid growth and change in the coming years. This is why "Nordic competence linked to African opportunities" is the main theme at this year's Nordic-Africa Business Summit.The summit is being held for the fifth consecutive year. Due to its great success, the Norwegian-African Business Summit has now become the Nordic-Africa...

MDAHALO WA WAZI JUU YA AMANI KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU

Afisa habari wa Iringa Civil Society Organization (ICISO) Charles Lwabulala (kulia) akimkaribisha mgeni rasmi ambaye ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Selemani Mzee  ili afungue mdahalo wa wazi juu ya amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu unaofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu huria mjini Iringa. Mdahalo huo umeandaliwa na Iringa civil society organization (ICISO-Umbrella) kwa kushirikiana na The Foundation for civil society .  Kaimu wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Selemani Mzee (katikati) ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo akifungua mdahalo wa wazi juu ya amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu unaofanyika katika ukumbi wa chuo Kikuu Huria (OUT)mjini Iringa. Kutoka kushoto walioketi na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilolo Martin Mlwafu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Ramadhani Mungi, Mwenyekiti wa ICISO Alexander Kisinini na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Iringa, Wilfred Myuyu na Afisa Habari wa Iringa Civil Society Organiz...

Tom Watson refuses to apologise over Leon Brittan allegations

Labour deputy leader responds to David Cameron’s suggestion that he ‘examine his conscience’ in statement to MPs   Tom Watson: ‘It is not for me to judge the validity of these claims but I believe I was right to demand the guidelines were adhered to.’ Photograph: Graham Turner for the Guardian Rajeev Syal and Josh Halliday Tom Watson has issued a defiant response to the prime minister’s demands that he apologise for putting the police under pressure to reopen a rape investigation into former Conservative home secretary Leon Brittan . Labour’s deputy leader told parliament on Monday that it was the children who had been victims of abuse who deserved an apology after he was urged earlier in the day to “examine his conscience” by David Cameron. Watson’s statement follows a sustained pursuit of the deputy leader by the Conservatives since last Tuesday’s Panorama programme, which examined his role in forcing police to investigate multiple claims of sexual a...

Mdahalo wa wagombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini washindwa kufika mwisho...!

Msigwa Mwakalebela Kisinini Masasi Washiriki washiriki Viongozi wa vyama vilivyoshiriki Waansdishi wa habari (Picha zote na Friday Simbaya) Mdahalo wa wagombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini, jana ulishindwa kufikia tamati kutokana na wafuasi wa wagombea wa vyama hasa CCM na Chadema kuanzisha fujo zinazotokana na ushabiki. Mdahalo huo ulianza saa 6:30 na ulikuwa umalizike saa 9:00 jioni lakini ulilazimika kumalizika saa 8:40 baada ya hali ya hewa kuchafuka kutokana na wafuasi wa Mgombea wa CCM Frederick Mwakalebela na wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa kukamiana na kuanza kurushiana maneno ya kejeri na vijembe. Hatua hiyo ilianza mara baada ya washiriki kutakiwa kuuliza maswali yanayolenga maendeleo ya wana Iringa wote bila kujali itikadi zao za vyama na ambayo yangejibiwa na wagombea wote sita wa ubunge katika jimbo hilo, lakini wafuasi wa vyama hivyo viwili hasimu hawakuzuia hisia zao kwa kuuliza maswali yanayolenga kumsha...

MKAPA ATAKA MFUMO WA UN UBADILISHWE

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipozi na bango la picha lenye rangi mbalimbali zinazowakilisha malengo ya dunia 17 kwa Maendeleo Endelevu wakati wa mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana. (Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog ). Na Mwandishi wetu RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya sasa ya dunia. Mkapa alisema hayo jana katika mdahalo kwenye juma la Umoja wa Mataifa ambalo linamalizika leo katika maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo. Mdahalo huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jana. Mkapa ambaye alichukua muda wake mwingi kuelezea na kuangalia maslahi ya Um...