Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati akiongea wakati wa kutambulisha shindano la mama msosi linalolaratibiwa na kituo cha radio Nuru FM 93.5 Iringa katika viwanja vya Kata ya Kihesa. Msimamizi wa vipindi vya Nuru fm radio na ndio Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya mama msosi mkoani Gerald Malekela akiongea na hadhara iliyokuwa imejitokeza wakati wa utambulisho wa shindano hili. Baadhi ya washiriki wa shindano la mama msosi wakiwa kwenye picha ya pamoja na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Iringa Ritta Kabati Na fredy Mgunda, Iringa. Shindano la mama msosi linaloratibiwa na kituo cha radio cha Nuru fm mkoani Iringa limetambulishwa rasmi kwa wakazi wa manispaa ya Iringa likiwa na lengo la kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa kina mama na jamii kwa ujumla,shindano hilo litawapa washindi kumi na nane kwa kila kata ya manispa ya Iringa ambapo kila mshindi atajinyakulia mtungi mmoja wa shirika la gesi la mihan....
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.