Skip to main content

Posts

Showing posts from January 8, 2017

JINA LA LOWASSA LATAJWA KWENYE DENI LA MILIONI 1

Jina la waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa limetajwa na mkazi mmoja wa Mbeya mbele ya Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla kuwa sababu ya deni la shilingi milioni moja kutokana na mahaba ya wafuasi wake. Mkazi huyo wa kata ya Ruanda Nzovwe aliyejitambulisha kwa jina la Amos Mwakyambiki alidai kuwa wafuasi wa Chadema waliharibu paa la nyumba yake walipopanda kwa lengo la kufuatilia mkutano wa Lowassa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana, na kwamba chama hicho kilimuahidi kumlipa fidia ya shilingi milioni moja lakini hadi sasa ahadi hiyo haijatekelezwa. Alimueleza mkuu wa mkoa huo kuwa kutokana na uharibifu huo mkubwa uliofanyika, wapangaji wake waliamua kuhama nyumba yake hivyo kukosa kipato. “Naomba Serikali ya Mkoa inisaidie kuzungumza na meya (wa Chadema) ili niweze kulipwa stahiki zangu kwani sasa sijui hatma yangu. Kuku niliokuwa nauza kwa ajili ya kupata nauli kwenda ofisi za jiji wamekwisha,” Mkaazi huyo anakaririwa. Kutokana na madai hayo, Mkuu wa Mkoa ...

TANESCO BADO KWAFUKUTA TU...

  Siku moja baada ya vigogo watatu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kushushwa vyeo, uongozi wa shirika hilo umesema utaendelea na fagio hilo kama njia ya kuongeza ufanisi kwenye utendaji. Vigogo hao wa ngazi za juu ambao ni wakurugenzi, wamehamishiwa Chuo cha Mafunzo cha Tanesco (TSS) kwa madai kuwa shirika linaboresha ufanisi wake. Walioshushwa vyeo ni pamoja na Declan Mhaiki aliyekuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia usambazaji wa umeme. Wengine ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uzalishaji na Huduma kwa Mteja, Mhandisi Sophia Mgonja na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uzalishaji Umeme, Nazir Kachwamba. Wakati hao wakipitiwa na panga hilo, Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu, Watson Mwakyusa, aliamua kuandika barua kuacha kazi mwenyewe. Juzi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk. Tito Mwinuka, alisema jana wangetoa taarifa kuhusu hamisha hamisha hiyo. Jana mchana Idara ya Kitengo cha Mahusiano cha Shirika hilo, kilitoa taarifa na kusema kuw...

WAFUGAJI 50 WALA KINYESI,DAMU NA MKOJO KUNUSURU MAISHA YAO

Watu 50 wakiwa na watoto wadogo wamenusurika kufa, baada ya kupotea ndani ya Pori la Akiba la Selous kwa siku saba; huku wakikosa chakula na maji na kulazimika kula kinyesi cha ng’ombe, damu na mikojo ya binadamu. Watu hao ambao ni wafugaji, walikuwa wakihama na mifugo yao inayokadiriwa kufikia 1,780 kutoka maeneo mbalimbali ya wilaya ya Rufiji mkoani Pwani, yakiwemo Chumvi na Muhoro waliekea Morogoro, ambako walidai ndiko yalipo makazi yao. Tukio hilo ambalo si la kawaida kutokea katika pori hilo, lilianzia Jumatano iliyopita wakati wafugaji hao, walipoanza safari ya kuelekea Malinyi mkoani Morogoro, wakiongozwa na mwenyeji wao, waliyemtaja kwa jina la Mzee Mzigua, ambaye hata hivyo wanadai aliwalaghai na kuwatelekeza. Wafugaji hao walisema walitembea kwa siku tano ndani ya pori hilo, wakitarajia kufika Malinyi, yaliko makazi yao. Lakini hali ilikuwa tofauti, baada ya mwenyeji wao huyo, kuwalaghai kwa kuwapitisha njia sisizo sahihi. Walisema waliishiwa chak...

TAGRODE: INDUSTRIALIZATION IS KEY TO ECONOMIC DEVELOPMENT

IRINGA: Tanzania need to accelerate its industrialization efforts if the country has to achieve economic development, the Tanzania Grassroots Oriented Development (TAGRODE) based in Iringa says. Tanzania Grassroots Oriented Development Chief Executive Director, Zubery Mwachulla told SIMBAYABLOG yesterday said that industrialization has been behind strong development that others countries are enjoying. Mwachulla said the key to poverty eradication, high unemployment rates and overdependence on exports of primary products that underdeveloped nations are facing lies in scaling up of the industrialization agenda that the fifth government is preaching. “Tanzania has abundant raw materials, favourable climatic conditions and abundant labour force, yet the country continues to suffer from high poverty and unemployment rates, and overdependence on exports of primary products,” Mwachulla said in an interview. He said to create employment, add value to raw material...

TANZANIA NEEDS TO INCREASE FOCUS ON AGRICULTURE INVESTMENT TO IMPROVE FOOD SECURITY ...

By Friday Simbaya recently in Njombe Tanzania needs to increase focus on industrialization and agriculture investment in order to improve food security for the citizens, WWF Tanzania’s Country Director said. Dr. Amani Ngusaru said recently that the vibrant agriculture sector not only feeds the people, it creates jobs, it generates wealth and it will keep people on the land. He said the key to poverty eradication, high unemployment rates and overdependence on exports of primary products that underdeveloped nations are facing lies in scaling up of the agriculture and industrialization agenda. He made the disclosure on Friday during the WWF - Ruaha Water Program-SWAUM exit workshop held in Njombe Region. WWF in collaboration with Care International is intending to implement Intensive Farming (IF) project in some parts of the country including Iringa, Morogoro and Coast regions but the focus will be the Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania (SAG...