Skip to main content

Posts

Showing posts from February 13, 2015

Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3 kujenga kizimba cha takataka soko kuu mafinga

Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu  vijana wa mafinga wakishangila uwepo wa Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu   na mwandishi wetu fredy mgunda,mafindi. Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3 kujenga kizimba cha takataka soko kuu mafinga pia kusambaza maji katika vyoo vya halmashauri vilivyopo sokoni hapo.

KESI YA MAUAJI YA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI YAANZA KUSIKILIZWA

Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Chanel ten, Daudi Mwangosi inayomkabili askari polisi, Pacificus Cleophace, jana ilianza kusikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Iringa chini ya Jaji Paulo Kihwelo kwa shahidi wa kwanza kuelezea namna walivyotekeleza agizo la aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda.