Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob John Mkunda, amewasili mkoani Iringa leo kwa ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Jenerali Mkunda amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Komredi Kheri James, pamoja na wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Mkoa ambapo walijadiliana masuala mbalimbali yanayohusu usalama na ulinzi wa wananchi.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.