Skip to main content

Posts

Showing posts from December 30, 2015

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU ATEMBELEA MSD

Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia. Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) na kuahidi kuwa balozi wa kuhakikisha deni la serikali linalipwa ili kuiwezesha MSD kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Waziri huyo ameeleza hayo baada ya Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu kueleza kuwa ukosefu wa fedha na deni la serikali ni changamoto kubwa inayoathiri utekelezaji mzuri wa majukumu ya MSD. Mbali na hilo, Waziri wa Afya amesema mbali na deni hilo, hata kiasi cha fedha kinachotengwa na serikali kwaajili ya hospitali, vituo vya afya na zahanati na kununua dawa hakitoshelezi mahitaji, hivyo lazima suala hilo lifanyiwe kazi mapema, huku akisisitiza hata kiasi hi...

MAGAZETINI LEO ALHAMISI

Burundi's president threatens to fight African peacekeepers

. View photo:  Burundi's President Pierre Nkurunziza speaks during a news conference in Bujumbura, Burundi, May … NAIROBI (Reuters) - Burundi's President Pierre Nkurunziza threatened on Wednesday to fight any African Union peacekeepers imposed on his country, in his most confrontational comments yet on a mounting political crisis. The African Union said this month it was ready to send 5,000 peacekeepers to protect civilians caught up in months of violence, invoking for the first time powers to intervene in a member state against its will. "Everyone has to respect Burundi borders," Nkurunziza said in comments broadcast on state radio. "In case they violate those principles, they will have attacked the country and every Burundian will stand up and fight against them ... The country will have been attacked and it will respond," he said, in his first public response to the AU plan. Other government officials have already said any pe...