Skip to main content

Posts

Showing posts from February 5, 2011

KAMATI YA KUSHUGHULIKIA MGOGORO WA IVORY COAST

Tanzania imeteuli kuwa moja ya nchi TANO katika kamati ya Umoja wa Afrika kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Ivory Coast kati ya Rais anayemaliza muda wake Bwana Laurent Gbagbo na Bwana Alassane Outtara. Nchi zingine kaatika kamati hiyo ni Chad, Mauritania, Nigeria na Afrika ya Kusini, nchi hizi zitaungana na nchi ya Burkina Faso ambayo tayari inashughulikia mgogoro huo. Kamati hiyo imefanya mkutano wake wa kwanza tarehe 31, Januari 2011 mjini Addis Ababa ambapo imekubaliwa kuwa kila nchi itachagua mwakilishi wake katika kamati ndogo ya wataalamu ifikapo tarehe 3 Februari ambao watakwenda nchini Ivory Coast kuangalia na kutathmini hali ilivyo. Baada ya hapo Kamati ya wataalamu watatakiwa kutoa taarifa na ushauri kwa viongozi ambao hatimaye watakwenda Ivory Coast na kukutana na viongozi hao wawili wanaogombea madaraka .

Ivory Coast Gbagbo backers protest against African Union

ABIDJAN (Reuters) – Several thousand youths loyal to Ivory Coast incumbent Laurent Gbagbo marched through Abidjan on Saturday to protest the presence of Burkina Faso's president on a mediation panel aiming to resolve a post-election crisis. At the end of last month, the African Union's Peace and Security Council gave five African leaders a one-month mandate to seek a solution to the violent power struggle between Gbagbo and rival presidential claimant Alassane Ouattara. Their conclusions are intended to be fastening on both sides. Several previous AU mediation efforts have failed. Ouattara was declared winner of a November 28 vote according to U.N.-certified results. But Gbagbo has refused to admit and has the backing of the military, which he has used to establish his position and encircle the hotel his rival is using as a base. He has rejected huge international pressure, financial sanctions and threats of force by West African neighbors. The Constitutional ...