Skip to main content

Posts

Showing posts from May 4, 2015

ZIARA YA KATIBU UVCCM IRINGA

katibu mkuu wa uvccm taifa sixtus mapunda akiwapa maneno ya kishujaa wakazi wa mkoa wa iringa juliana shonza akiwahutubia wananchi wa mkoa wa iringa viongozi chama cha mapinduzi wakiwa katika meza wakifuatia mkutano unavyoendele na fredy mgunda,iringa. katibu mkuu wa uvccm taifa afanya ziara ya jimbo la kilolo kwa lengo la kukijenga chama na kuangalia maendeleo ya chama hicho hasa ngazi vijana lakini akiwa katika ziara hiyo aliongozana na mwenyeji wake katibu wa uvccm mkoa wa iringa.

UMOJA WA ULAYA, UN; TUTAPIGANIA UHURU WA HABARI SIKU ZOTE

Meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Umoja wa Vilabu vya waandishi wa Habari nchini (UTPC), Jane Mihanji, Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Bw. Ernest Sungura, Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez. Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza katika maadhimisho ya Uhuru wa habari duniani yaliyofanyika mkoani Morogoro. Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Meza kuu katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Umoja wa Vilabu vya waandishi wa Habari nchini (UTPC), Jane Mihanji, ...