Skip to main content

Posts

Showing posts from May 21, 2018

UHURU TORCH TO INAUGURATE 40 DEVELOPMENT PROJECTS IN IRINGA WORTH 24.42BN/-

UHURU Torch Race in 2018 intends to launch a total of 40 development projects worth of 24.2 billion shillings in Iringa Region, it has been established.  Speaking with journalists yesterday, Iringa Regional Commissioner, Amina Masenza, said that the projects come from education sectors ten (10) , health sector, four (4) water, one natural resource, five (5), two industries, one fishing, and the anti corruption clubs (4) projects.  She added that the cost of projects was based on contributions from the community 1.3 billion shillings, central government shillings 8.64 billion, district councils 253.6 million shillings and development stakeholders contributed 14.3bn/-.  Masenza said that the Iringa region will begin the race for on 23/05/2018 after receiving from Mbeya Region.  "In the Iringa region, the Uhuru Torch will pass through all five (5) district councils to development activities as follows; Mufindi District Council on 23/05/2018, ...

PM AZINDUA MRADI WA UUNGANISHWAJI WA UMEME WA GRIDI YA TAIFA KWA MIKOA WA LINDI NA MTWARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa uunganishwaji umeme wa Gridi ya Taifa kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mahumbika Mkoani Lindi leo Mei 21, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. Mradi huo sasa umeondoa kero ya muda mrefu ya upatikanaji wa umeme ulio bora na wa uhakika kwenye mikoa hiyo ya Kusini. NA MWANDISHI WETU, MAHUMBIKA-LINDI WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amewahakikishia watanzania wote kuwa Serikali itafikisha umeme kila kona na kila kijiji. Waziri Mkuu aliyasema hayo mara baada ya kuzindua mradi wa uunganishwaji wa umeme wa Gridi ya Taika kwa mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye hafla iliyofanyika Kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Mahumbika mkoani Lindi leo Mei 21, 2018. Hata hivyo aliwataka kuwa wavumilivu kwani mipango ya serikali ambahyo ni kuhakikisha umeme unafika sio tu maene...

MWENGE KUZINDULIWA MIRADI 40 WENYE THAMANI SHILINGI BILIONI 24.42

(Picha na Friday Simbaya) IRINGA: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 unatarajia kuzindua jumla ya miradi ya maendeleo 40 yenye thamani ya shilingi billioni 24.42.  Akiongia na waandishi wa habari jana Mkuu wa Mkoa wa iringa Amina Masenza alisema kuwa miradi hiyo inatoka sekta za elimu kumi (10), afya saba (7), maji nne (4), malisali moja, kilimo tano (5), viwanda viwili, uvuvi moja, na mapambano dhidi ya rushwa nne (4).  Alisema kuwa gharama za miradi hiyo zimetokana na michango ya wananchi shilingi bilioni 1.3, serikali kuu shilingi bilioni 8.64, halmashauri shilingi million 253.6 na wadau wa maendeleo shilingi 14.3.  Masenza alisema kuwa mkoa wa iringa utaanza mbio za mwenge wa uhuru tarehe 23/05/2018 baada ya kuupokea Mkoa wa Mbeya.  “Ukiwa mkoani Iringa, Mwenge wa Uhuru utapitia kwenye halmashuari zote tano (5) kuhimiza shughuli za maendeleo kama ifuatavyo; halmashauri ya wilaya ya Mufindi tarehe 23/05/2018, halmashauri ya wilaya ya Iri...

Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada kwa watoto wenye saratanit

Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam. Msaada ambao umetolewa ni unga wa ngano, khanga na sabuni za kuogea, kufua na kunawia mikono. Akikabidhi msaada huo, Kaimu Meneja Miradi wa Taasisi ya Mo Dewji, Belinda Paul alisema taasisi yao itaendelea kuwa na utaratibu wa kutoa msaada katika kituo hicho ili kuwafariji watoto ambao wanapatiwa matibabu. Alisema hiyo sehemu ya kwanza kutoa msaada kwani wamekuwa na utaratibu wa kusaidia jamii kutokana na uhitaji uliopo hivyo kwa kufanya hivyo wanaamini watakuwa wamegusa maisha ya Watanzania wengi. Aidha, Paul amewataka watu wengine wenye uwezo kuweka utaratibu wa kusaidia watu wengine wenye uhitaji kama watoto waliopo katika kituo cha Tumaini la Maisha. Kaimu Meneja Miradi wa Taasisi ya Mo Dewji, Belinda Paul akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto ambao wanapatiwa matibabu katik...