Skip to main content

Posts

Showing posts from August 28, 2018

OPERESHENI 'NYAKUA NYAKUA' YA NYAKUA DEREVA MKOANI IRINGA

Kandakta wa basi la Rungwe Exprese la kutoka Kyela mkoani Mbeya akikaguliwa kitaba na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu akiongozana na Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Iringa (RTO) Yusuf Kamotta (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Iringa  Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu akiongozana na Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Iringa (RTO) Yusuf Kamotta, amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika baadhi ya mabasi ya abiria na malori mkoani iringa kwa kukagua liseni za madereva.  Kamanda Musilimu alikuwa mkoani iringa ikiwa ni sehemu yake ya kufanya ukaguzi wa magari ya abiria pamoja na magari mengine usiku na mchana katika operesheni yake ya  'nyakua nyakua' ya kukamata madereva wanaofanya makosa.  Operesheni hiyo jana ilifanikiwa kumnyakua dereva mmoja wa mabasi ya New Force mkoani baada ya wananchi kutoa taarifa kuwa dereva huyo alikuwa akiendesha basi...

POLICE "NYAKUA NYAKUA" OPERATION NETS ONE DRIVER IN IRINGA

By Friday Simbaya, Iringa  Tanzania’s Traffic Police commander Fortunatus Musilimu in collaboration with Iringa Regional Traffic Officer (RTO), Yusuf Kamotta, has made a sudden inspection on some passenger buses, trucks and other vehicles in order to investigate drivers' licenses and to see whether they observe road traffic safety rules.  The Commander was in Iringa Region on the ongoing inspection of passenger buses along with other vehicles night and day in the operation dubbed as “catching up drivers and put them in custody.  Recently, the Tanzania traffic Police launched a "Nyakua Nyakua" operation which would involve arresting drivers, putting them in custody before being sentenced to court.  The bus conductor of Rungwe Express from Kyela in Mbeya region when she was interviewed by the Tanzania’s Traffic Police commander SACP Fortunatus Musilimu (C) in collaboration with Iringa Regional Traffic Officer (RTO), Yusuf Kamotta (R) duri...