Mwanahamisi Muyinga Iringa. Makada wa Wawili wa Chadema Mbunge viti maalumu anayemaliza muda wake Chuki Abwao na aliyekuwa mmoja wa watia nia Jimbo la Kalenga aliyeshindwa kwenye kura za maoni wameibuka kidedea kwenye kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo. Makada hao waliibuka washindi kwenye uchaguzi uliofanyika juzi Chuki Abwao akishinda jimbo la Iringa mjini na Mwanahamisi Jimbo la Kalenga. Makada hao sasa wanasubiri vikao vya juu vya chama ili kuidininisha kuwania ubunge na ikiwa vikao hivyo vitabiri Chuki atapambana na Mbunge wa Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa, Mgombea ubunge kupitia CCM anayesubiri vikao vya juu vya chama hicho Frederick Mwakalebela na wagombei wa vyama vingine ikiwa watajitokeza.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.