Skip to main content

Posts

Showing posts from March 11, 2017

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

MASHINDANO YA MABALOZI WA MTOTO MFANYAKAZI WA NYUMBANI YAFANA

Mgeni rasmi, Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Mwanza, Kizito Wambura (kulia), akikabidhi kombe kwa washindi wa mashindano hayo yaliyofanyika leo katika viunga vya shule ya msingi Nyamagana. #BMGHabari Wanafunzi wa shule ya msingi Nyamagana wameibuka washindi kwenye mashindano elimishi kwa klabu za mabalozi wa mtoto mfanyakazi wa nyumbani dhidi ya wakubwa zao kutoka shule ya sekondari Nyakurunduma, zote za Jijini Mwanza. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya kutetea haki za mtoto mfanyakazi wa nyumbani (WoteSawa) ya Jijini Mwanza, yalijumuisha michezo mbalimbali ikiwemo maigizo, ngonjera pamoja na mashairi yenye jumbe za kuainisha aina za ukatili wanaokumbana nao watoto wafanyakazi wa majumbani ikiwemo vipigo, utumikishwaji na fursa ya kukosa elimu, na kuiasa jamii kuachana na vitendo hivyo. "Ukiona mtoto anatendewa ukatili wa aina yoyote, paza sauti (toa taari...

MAASKOFU WAILIMA SERIKALI WARAKA MZITO

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa waraka uliojumuisha mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuwataka viongozi kutenda haki, kutokuwa na upendeleo, kuheshimu Katiba na sheria za nchi. Pia jumuiya hiyo imewataka Watanzania kwa ujumla kuliombea taifa na viongozi wake, ili wawe walinzi wa Katiba na sheria za nchi kama walivyoapa. Waraka huo ulisambazwa jana katika vyombo vya habari, ukiwa umetiwa saini na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania (KAT), Dk. Jacob Chimeledya. Wengine ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania (KMT), Dk. Isaac Nicodemo na Askofu Mkuu wa Kanisa la African Inland Church in Tanzania (AICT), Silas Kezakubi. “CCT inatoa maelekezo kwa Wakristo wa makanisa wanachama na Watanzania wote kwa ujumla, kuendelea kulinda na kuheshimu misingi ya haki za binadamu na kuliombea taifa na viongozi wake ili waendelee kuwa na hofu ya Mungu na waadi...

Zanaco hold Young Africans to raise group stage hopes

Zanaco collected a valuable away goal in Tanzania on Saturday in their 2017 CAF Champions League clash against George Lwandamina’s Young Africans. The 2016 FAZ Super Division champions rallied from one-down in the first half to hold Young Africans 1-1 in Dar-es-Salaam. Simon Msvua put Young Africans ahead in the 40th minute. Ghana-born striker Kwame Attram equalized for Zanaco in the 77th minute to ensure they take a precious goal for the return leg at Nkoloma Stadium on March 18. A home draw for Zanaco next weekend should be enough to see them through to the Champions League group stage. Defeat for Lwandamina will see Young Africans relegated to the CAF Confederation Cup where the potential last 36 draw with his former club Zesco United lies in store.