Skip to main content

Posts

Showing posts from December 30, 2016

High and Dry: Climate Change, Water, and the Economy

A new World Bank reports finds that water scarcity, exacerbated by climate change, could hinder economic growth, spur migration, and spark conflict. However, most countries can neutralize the adverse impacts of water scarcity by taking action to allocate and use water resources more efficiently. Key Findings Water scarcity, exacerbated by climate change, could cost some regions up to 6% of their GDP, spur migration, and spark conflict. The combined effects of growing populations, rising incomes, and expanding cities will see demand for water rising exponentially, while supply becomes more erratic and uncertain. Unless action is taken soon, water will become scarce in regions where it is currently abundant - such as Central Africa and East Asia - and scarcity will greatly worsen in regions where water is already in short supply - such as the Middle East and the Sahel in Africa. These regions could see their growth rates decline by as much as 6% of GDP by 2050 due...

MAONI YA WATEJA NI MUHIMU KWA UKUAJI WA BIASHARA YAKO

KUJA kwa maendeleo ya sayansi na teknolojia hususani mtandao wa intaneti kumebadilisha kwa kiasi kikubwa mienendo ya matangazo ya utoaji wa huduma mbalimbali duniani na hii ni kutokana na uwezo wake wa kuwaruhusu wateja kutoa ushuhuda, kukosoa au kutoa maoni juu ya walichohudumiwa na kujionea. Tofauti na kipindi cha nyuma kidogo ambapo wataalamu wa masoko walikuwa wanatumia zaidi njia za luninga na redio kuwafikia wateja wao, siku hizi mfumo wa intaneti unapewa kipaumbele zaidi kutokana na namna unavyofikia watu wengi zaidi ndani ya muda mfupi, kwa haraka na gharama kidogo. Matangazo ya luninga na redio yanaweza kuwa hayana ushawishi mkubwa ukilinganisha na mtandao wa intaneti kwani hivi sasa makampuni yanaweza kuwasilisha bidhaa na huduma zao na kupokea majibu kujua kwamba zinakubalika au la. Hali hiyo ni dhahiri kutokana na makampuni mengi kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia na rasilimali watu katika kusimamia tovuti na kurasa zao rasmi za mitandao ya kijam...

MBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani Shutashuta Kata ya Pande Jijini Tanga jana wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea kuona namna wanavyotekeleza majukumu yao na changamoto ambazo zinawakabili  Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikangalia naamna mradi huo unavyopandwa Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua mradi huo leo mara baada ya kuwasilia kwenye eneo hilo Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa kilimo cha Umwagiliaji wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini Tanga  Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku akikagua hoho wakati alipokuwa akitembelea mradi huo wa kilimo cha Umwagiliaji wa Kikundi cha Golani Shutashuta eneo la Kata ya Pande Jijini Tang...

WANAFUNZI 2,998 MANISPAA YA IRINGA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWA KWANZA 2017

Ufaulu wa wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) mwaka 2016 Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa umeongezeka ukilinganisha na mwaka jana, ambapo ufaulu kwa mwaka huu ni asilimia 87.43, wakati mwaka jana ulikuwa ni asilimia 85, sawa na ongezeko la asimilia 2.43. Hayo yalisemwa na Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Mkoa (shule za msingi) Salimin Mndeme, jana wakati akiongea na SIMBAYABLOG kuhusu matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2016. Alisema kuwa kuongezeka kwa ufaulu mwaka huu Manispaa ya Iringa ni kutokana na utekelezaji mzuri wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN) ulioanzishwa na serikali hivi karibuni, nakuongeza kuwa manispaa ya Iringa imeshika nafasi ya pili kimkoa (ya kwanza kimkoa ni Mafinga Mji). Alisema kuwa wanafunzi waliofaulu mwaka 2016 ni 2,998 (1,414 wavulana na 1,584 wasichana) ambapo wanafunzi wote waliofaulu mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2017. Alisema kuwa Manispaa ya Iringa ina jumla ya shule za msingi 50,...

MTUMISHI WA TANAPA ADAI HAKI ZAKE KWA MWAJIRI

Aliyekuwa mtumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (RUNAPA), Emiliyo Mwadila Lugiriva pichani amemuomba Rais John Pombe Magufuli aingilie kati suala la madai yake ya kutelekezwa na mwajiri wake, baada ya kustaafu kwa hiari mnamo tarehe 01.07.2007.  Akiongea na Nipashe jana mstaafu huyo alitaja baadhi ya madai yake hayo kuwa ni pango la chumba kimoja ambacho kilihifadhi mizigo iliyoletwa Iringa na kuahidiwa kusafirishwa hadi sehemu husika yaani, Minjingu, Manyara, pango la vyumba viwili ambavyo familia ilikua ikishi mjini Iringa kabla ya kupewa nyumba nyingine kwa ajili ya familia na pango la vyumba viwili ambavyo alitumia baada kutekelezwa na mwajiri wake tangu tarehe 30.10.2007.  Alisema kuwa mnamo mwezi wa kumi (10) 2007 aliambiwa atasafirishwa hadi nyumbani kwake (Mijingu), lakini cha ajabu alifikishwa Iringa na kuambiwa hapo ndiyo nyumbani kwake, wakati nyumbani kwake ni Minjingu wilyani Babati, mkoani Manyara.  Alitaja madai mengine kuwa ni posho y...