Ofisa Nishati Jadidifu toka WWF, Phillipina Shayo Mratibu wa Shirika la TAGRODE, Dickson Mwalubandu, akihamasisha jamii ya wafugaji wa kitongoji cah Kipanga katika Kijiji cha Chamndindi wilayani Iringa, mkoani Iringa kuhusu matumizi ya nishati mbadala juzi, ambapo aliambatana na Afisa Nishati Jadidifu (nishati mbadala) kutoka WWF Tanzania, Philipina Shayo (mwenye miwani aliyeketi). (Picha Friday Simbaya) Shirika la Utunzaji wa mazingira duniani (WWF- Tanzania) (WWF-TCO) kupitia mradi wake Nishati Mbadala (RE) imeanza kutekeleza Mradi wa Nishati Mbadala katika Kijiji cha mfano Chamndindi, Wilaya ya Iringa ya Mkoa wa Iringa. Ofisa Nishati Mbadala wa WWF Tanzania, Phillipina Shayo alisema mradi huo ni kuhakikisha upatikanaji wa bei nafuu, kuaminika, endelevu na wa kisasa wa nishati kwa jamii katika Kijiji Chamndindi pamoja navijiji vya jirani, hivyo kuimarika kwa ufanisi wa nishati. Hayo yalifahamika Alhamisi wiki iliyopita wakati wa warsha ya kujadili...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.