Skip to main content

Posts

Showing posts from September 20, 2014

NYALUSI:MAANDAMANO YA CHADEMA IRINGA YAKO PALEPALE...!

Mwenyekti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya kitanzini leo. Mkazi wa Kitanzani Claud Mahembe akiuliza swali la kutaka kupata ufafanuzi kweni bunge la katiba maalum halisitishwi kwa mwenyekiti wa Chadema Wilaya Iringa Frank Nyalusi wakati wa mkutano wa hadhara jioni leo. Na Friday Simbaya, Iringa CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Iringa Mjini limeshindwa kufanya maandamano ya amani kama ilivyotangazwa kwa kile kilichoelezwa na Mwenyekiti wake, Frank Nyalusi "tumepokea zuio kali kutoka jeshi la Polisi."