Skip to main content

Posts

Showing posts from December 12, 2017

NAIBU WAZIRI ARIDHISHWA NA UJENZI BARABARA YA MAFINGA-IGAWA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (mwenye wa miwani nyeusi), akikagua ujenzi wa barabara ya Mafinga-Igawa sehemu ya barabara kuu ya TANZAM mjini Mafinga wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, huku akiongonzana na Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoa wa Iringa Mhandisi Daniel Kindole (kushoto kwake) pamoja na Mhandisi Mkazi Narapati Katel (kushoto kabisa) wakati wa ziara yake mkoani hapa jana. (Picha na Friday Simbaya) naibu waziri wa ujenzi elias kwandikwa (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya viongozi wa wilaya ya mufindi mkoani iringa kabla ya kukagua ukarabati wa barabara ya mafinga-igawa sehemu ya tazam unaotekelezwa na kampuni ya kichana ya CCECC kwa kiwango cha lami leo. (picha na friday simbaya) Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), ametoa wito kwa wananchi na watumia barabara kuhakikisha wanatunza miundombiunu z...