Skip to main content

Posts

Showing posts from June 4, 2016

TFDA: WANANCHI MSITUMIE VIPODOZI HIVI NI HATARI!

Meneja, mawasiliano uhusiano wa umma wa mamlaka ya chakula na dawa nchini (TFDA), Gaudensia Simwanza akiwaelimisha wananchi madhara yatokanayo na  kutumia vipodozi vilivyopigwa marufuku na serikali kuwa na viambata vya sumu kama vile hydroquinone, mercury, steroids na chloroform walipotembelea banda hilo wakati wa maadhimisho ya wiki ya unywaji wa maziwa yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe wiki iliyopita. (Picha na Friday Simbaya) Njombe:   Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) said, in order to avoid and prevent the health hazards brought by using counterfeit drugs, food and cosmetics, there is a need for community participation in the anti–fake goods drive. The statement was made recently by TFDA Manager, Communication and Public Relations, Gaudensia Simwanza in an interview with the SIMBAYABLOG during National Milk Day celebrations held at national level in Njombe region. Happy National Milk Day! Today we commemorate the day when milk starte...