Skip to main content

Posts

Showing posts from December 19, 2015

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

KIJIJI CHA LYAMKO CHA PATIWA HAKIMILIKI ZA KIMILA 350 KUTOKA TAASISI YA HAKIARDHI

Afisa Ardhi Mteule, Elinaza Kiswaga Mkurugenzi Mtendaji wa HakiArdhi, Yefred Myenzi... Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilolo, Mejuzi Mgeveke,akigawa hati miliki za kimila. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilolo, Mejuzi Mgeveke, ambaye alikuwa mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja baada yakugawa hati miliki za kimila. (Picha zote Friday Simbaya) KILOLO: Shirika linalojishughulisha na masuala ya ardhi nchini, HakiArdhi, limetoa hatimiliki za kimila 350 kwa wananchi wa kijiji cha Lyamko baada ya kupimiwa mashamba yao. Akitoa taarifa fupi ya mradi wa hakiardhi, utawala na mabadiliko ya tabianchi jana Afisa Ardhi Mteule, Elinaza Kiswaga kuwa kijiji cha lyamko kimekuwa ni kijiji cha nane katika wilaya kilolo kupatiwa hati miliki za kimila tangu zoezi la upamaji mwaka 2013. Alisema kuwa taasis ya HAKIARDHI ilianza kufanya kazi za utafiti wa awali mwaka 2012, na mwanzoni mwa mwaka 2013 taasisi hiyo kwa kushirikiana na...