Misa inaendelea wakati wa Jumapili ya Matawi katika Kanisa Kuu la Peramiho, Songea, huku waamini wakisikiliza Neno la Mungu, na hasa Injili nzima ya Mateso ya Yesu Kristo kadiri ya Mwinjili Marko. Waamini mbalimbali kutoka Peramiho wakitoka kanisani baada ya Misa ya Dominika ya Matawi leo. Leo ni Dominika ya Matawi duniani kote, waamini wa Kanisa Katoliki wanaazimisha Siku ya Matawi ilikufanya ukumbusho wa Yesu Kristo kuingia Yerusalemu, alipojitoa nafsi yake kwa ajili yetu. What is Palm Sunday? What do Christians Celebrate on Palm Sunday On Palm Sunday Christians celebrate the triumphal entry of Jesus Christ into Jerusalem, the week before his death and resurrection. For many Christian churches, Palm Sunday, often referred to as "Passion Sunday," marks the beginning of Holy Week, which concludes on Easter Sunday. The Bible reveals that when Jesus entered Jerusalem, the crowds greeted him by waving palm branches and covering ...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.