Skip to main content

Posts

Showing posts from September 28, 2017

WANANCHI WANAOTAKIWA KUPISHA MRADI WA SHANTA GOLD MINE WILAYANI IKUNGI MALIPO YAO

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliowahusisha wananchi wa Kijiji cha Mang’onyi, Sambaru na Mulumbi kwa ajili ya kulipa fidia za wanufaika kwa ajili ya kupisha Mradi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta Gold Mining Ltd. Wananchi wa Kijiji cha Mang’onyi, Sambaru na Mulumbi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumza katika mkutano wa hadhara kwa ajili ya kulipwa fidia za wanufaika kwa ajili ya kupisha Mradi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Shanta Gold Mining Ltd. Meneja wa Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Shanta Gold Mining Ltd Philbert Rweyemamu akielezea utaratibu wa ulipaji fidia kwa wanufaika. Wananchi wa Kijiji cha Mang’onyi, Sambaru na Mulumbi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe Miraji Jumanne Mtaturu Akizungumza katika mkutano wa hadhara kwa ajili ya kulipwa fidia za wanufaika kwa ajili ya kupisha Mradi ...

SEKTA YA MANUNUZI YA MTANDAONI NA CHANGAMOTO ZAKE NCHINI TANZANIA

Na Jumia Travel Tanzania Miongoni mwa sekta ambazo zimewapatia utajiri mkubwa wafanyabiashara mbalimbali duniani ni pamoja na biashara kwa njia ya mtandao. Leo hii ukiyataja majina ya kampuni kama vile Alibaba au Amazon ni watu wachache wasioyafahamu licha ya kutokuwepo nchini Tanzania. Waasisi wa makampuni hayo wamo kwenye orodha ya watu matajiri duniani, Bw. Jeff Bezos mwasisi wa Amazon ni tajiri nambari 3 huku Jack Ma ambaye ni mwasisi wa Alibaba yeye ni tajiri nambari 23. Utajiri wa wafanyabiashara hawa sio kama wanamiliki biashara katika nchi mbalimbali bali uwezo wa makampuni yao kuwafikia wateja mahali popote walipo. Kuwafikia wateja hao Jumia Travel ingependa kukufahamisha si kwa njia nyingine bali ni kupitia mtandao wa intaneti.  Kuja kwa mtandao wa intaneti kumerahisisha shughuli mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa biashara. Mitandao kama Alibaba na Amazon iliona fursa kubwa kupitia intaneti ambazo inawezekana wafanyabiashara wenyewe hawakuziona. Furs...

There are 25 million unsafe abortions in the world every year

97% of procedures carrying serious risk are performed in developing countries. Anti-Trump demonstrator protests at abortion rights rally in Chicago, Illinois on 15 January 2017REUTERS/Kamil Krzaczynski Nearly half of the estimated 55.7 millions abortions carried out around the world each year are performed unsafely, a new study in medical journal The Lancet has revealed. Between 2010 and 2014, 25 million abortions each year posed a serious risk to the lives of pregnant women worldwide, with 97% of unsafe abortions occurring in developing countries in Asia, Africa and Latin America, according to the report. The World Health Organisation (WHO) defines an abortion as unsafe when it is terminated by someone who lacks the necessary medical skills to carry out the procedure or when it takes place in an environment that does not the meet the minimum medical standards. The Lancet study reviewed data on abortions from 61 countries, categorising them on a scale of ...

RC MASENZA ALIOMBA BARAZA LA BIASHARA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA UTALII ...

Mkuu wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Asia Abdallah akitoa maoni wakati wa kikao cha baraza la biashara la mkoa wa iringa juzi, huku mkuu wa mkoa wa iringa amina masenza na mwenyekiti wa TCCIA mkoa wa Iringa Lucas Mwakabungu wakifuatilia kwa makini. (Picha na Friday Simbaya) Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza (RC) amewaomba washiriki wa baraza la biashara la mkoa kushiriki kikamilifu kwenye maonesho ya Utalii ya karibu Kusini yanayoendelea katika viwanja vya Kichanagni mjini Iringa. RC alisema hayo juzi wakati wa kikao cha baraza la biashara la mkoa wa Iringa kilichofanyika juzi katika ukumbi wa valentine, kihesa-kilolo mjini Iringa. Masenza alisema kuwa lengo ni kuufanya mkoa wa Iringa kuwa mfano katika ukanda huo wa kusini katika sekta ya utalii. Zaidi ya wajasiriamali 350 wamejitokeza kushiriki maonesho ya utalii ya Karibu Kusini yanayoanza rasmi jana, ambayo yatafunguliwa na Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Maja...