Skip to main content

Posts

Showing posts from November 24, 2017

AMKA NA MAGAZETI NA TUMBUSI BLOG LEO NOVEMBA 25

USAID NAFAKA YATOA RUZUKU ZANA ZA KILIMO KWA WAKULIMA MKOANI IRINGA

Na Friday Simbaya, Iringa MKUU wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza amepongeza Mradi wa NAFAKA kwa juhudi za kuinua uchumi wa vikundi vya wakulima na kuleta maendeleo katika sekta ya kilimo.  Alisema kuwa Kilimo kinatoa mchango mkubwa wa ajira kwa vijana na wanawake walioko vijijini na mijini kwa maendeleo yetu na Taifa kwa ujumla. Masenza alisema hayo jana wakati wa kukabidhi zana za kilimo kwa wakulima katika vikundi vya uzalishaji, na kuongeza kuwa zana hizo za kilimo zitasaidia wakulima kuongeza tija, uzalisahji na kufanya shughuli za kilimo kwa wakati.  Pia, alisema kuwa nyenzo hizo za kilimo zitawezesha vijana na wanawake kushiriki katika kilimo kwa mafanikio makubwa ikiwa pamoja na kukuza uchumi wa kipato katika ngazi ya kaya pamoja na kupunguza umasikini kwenye mkoa wa Iringa. “Serikali inahimiza sana wakulima wadogowadogo, wakulima wakati na wakubwa kutumia zana bora za kilimo katika shughuli za uzalishaji mazao ili kuongez...

TANZIA: MBUNGE WA SONGEA MJINI AFARIKI DUNIA

Mbunge wa Songea Mjini Mhe Leonidas Tutubert Gama amefariki dunia jana usiku katika Hosipitali ya Misheni ya Peramiho ambako alipelekwa kwa matibabu. Mungu mpumzishe kwa amani  Leonidas T Gama Amina

NAFAKA PROGRAM DISHES OUT AGRICULTURAL TOOLS TO FARMERS IN IRINGA

By Friday Simbaya, Iringa Iringa Regional Commissioner Amina Masenza has applauded the NAFAKA program for efforts to raise farmers' economy and to develop development in the agricultural sector. She said agriculture has a great deal of employment for young people and women in rural and urban areas for our development and the nation as a whole. Masenza said yesterday when delivering agricultural tools to farmers groups, adding that these agricultural tools will help farmers to increase productivity and agricultural activities at a timely basis. She also said that such agricultural resources would enable young people and women to participate in agriculture with great success including the promotion of income-generating activities (IGAs) at home level and poverty alleviation in Iringa. "The government urges small-scale farmers, medium scale farmers and large scale farmers to use the best agricultural tools in crop production act...

The Fall of Mugabe: Litmus Test for African Union Strategic Intervention

Robert Mugabe following the proceedings at AU By Tatenda Malan and Brenda Mofya For 37 years, there was only one centre of power in Zimbabwe: President Robert Mugabe. Last week it appeared that Mugabe had lost that monopoly. No doubt this took everyone by surprise including the African Union (AU). But It was the AU’s weak response to the ‘military takeover’ that occurred in Zimbabwe that was more telling. On November 14, as the night fell on Harare Zimbabwe’s military leaders seized control of the country, placing President Robert Mugabe under house arrest and deploying armoured vehicles to the streets of the capital, Harare. Military tanks where seen cordoning-off parliament, and the supreme court and the office of the President in Zimbabwe. President Mugabe was held under house arrest and it was said that other cabinet ministers belonging to a Mnangagwa rival faction were held in custody. Military tanks had effectively taken control of the strategic lo...