Skip to main content

Posts

Showing posts from November 5, 2016

HOTUBA YA KAMATI YA BUNGE KUHUSU MUSWADA WA HABARI

HOTUBA YA KAMATI YA BUNGE KUHUSU MUSWADA WA HABARI MAONI, MAPENDEKEZO NA USHAURI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII KUHUSU MUSWADA WA SHERIA WA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016 (THE MEDIA SERVICES BILL, 2016) Friday, 4 November 2016 ____________________ 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya Kamati kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016 (The Media Services Bill, 2016). Uwasilishaji huu ni kwa mujibu wa Kanuni ya 86 (5) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari 2016. Mheshimiwa Spika, Kwa kuzingatia Kanuni ya 84 (1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Januari 2016, uliipa Kamati jukumu la kushughulikia Muswada huu wa Sheria. Aidha, kabla ya kuanza shughuli hiyo muhimu, Kamati ilipata fursa ya kupokea Maelezo ya Serikali kuhusu Muswada tajwa kutoka kwa Mheshimiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ...

Why Donald Trump draws crowds, Hillary Clinton doesn't

Some analysts believe many are simply reluctant to admit they're on Hillary Clinton's side. Clinton is seeking the company of stars like Pharrell Williams and Bernie Sanders to draw crowds [Brian Snyder/Reuters] by Chris Sheridan It makes fans of Hillary Clinton very anxious every time I state this simple fact: attendance at the Democratic candidate's rallies is mediocre at best. The pictures have told the story over the past six months. Republican Donald Trump is filling convention centres, airport hangars and parks. Clinton, on the other hand, is filling community centres and small colleges, but just barely. The people campaigning for her - the rock stars of the Democratic Party like First Lady Michelle Obama, President Barack Obama and Vermont Senator Bernie Sanders - have bigger and more energetic crowds. Moreover, as Clinton goes into the final weekend of campaigning, she is drawing on mega-celebrities to attract people to her cause ...

MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WASOMWA MARA YA PILI

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO Muwada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 umesomwa mara ya pili Bungeni mjini Dodoma ukiwa na lengo la kuifanya tasnia ya habari nchini kuwa taaluma kamili. Wiziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amesema hay oleo Bungeni Dodoma alipokuwa akiwasilisha Muswada huo, huku akisisitiza kuwa una sehemu kuu nane ambazo zinaufanya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari nchini na kuifanya kuwa taaluma kamili itayowaletea heshima wanahabari na tasnia hiyo kwa ujumla.  “Hatuwezi kwa na vyombo vya habari makini kama hatutakuwa na wanahabari wenye taaluma ya habari nchini” alisema Nape. Katika kuonesha ushirikishwaji wa wadau katika kutoa maoni yaliyolenga kuboresha Muswada huo, Waziri Nape amesema kuwa kumekuwa na ushirikishwaji mkubwa wenye wigo mpana kutoka kwa mwananchi mmoja mmoja, wanataaluma wa habari, wanasheria kupitia Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Umoja wa ...

FILAMU NA TAMTHILIA ZA KITANZANIA ZAZINDULIWA, ZITARUSHWA NA DSTV

Mwenyekiti wa Bodi ya DSTV, Balozi Ali Mpungwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Filamu na Tamthilia za Kitanzania zitakazorushwa na DSTV kupitia Chaneli yao kuanzia Maisha Magic Bongo Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uzinduzi huo. Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo akizungumza katika uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi. Mtendaji Mkuu wa Multchoice, Chande Maharage, akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi akizungumza kwenye uzinduzi huo. Mkurugenzi Mkuu MNET, Yalisa Phawe akitoa hutuba fupi katika uzinduzi huo. Kulia ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi. Wadau wa filamu wakiwa kwenye uzinduzi huo. Viongozi mbalimbali walioshiriki uzinduzi huo. W...