Kris Simbaya na rafiki zake Lisa Mlowezi na Laurence Fusi siku yao ya mahafali yaliyofanyika tarehe 24.11.2011, jumla ya wanafunzi waliohitimu, wakiwemo 12 watakaoanza shule ya msingi na sita awali, baada yakumaliza elimu ya chekechea. Kris (kushoto) na Lisa na Lau Kris Simbaya akivishwa mataji na mama yake. Walimu wa Talent Chekechea, Oifemia Mkua na Maua Lwambano wakitambulishwa na mlezi mkuu wa shule hiyo hayupo pichani kwa wazazi na walezi wa watoto siku ya mahafali.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.