Ofisa wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP), Veronica Magayane akitoa mada wakati wa mkutano wa uchambuzi wa bajeti ya wizara hiyo kwa mlengo wa kijinsia uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wadau wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea. Uchambuzi wa bajeti hiyo ukiendelea. Mzee Hamisi Katumwa akichangia jambo kwenye mkutano huo. Mdau Msafiri Mtakatifu akichangia jambo. Mdau Wilfred akichangia jambo kuhusu bajeti hiyo. Bi. Ester Tibaigana akichangia jambo. Muonekano wa chumba cha mkutano huo wakati wa uchambuzi wa bajeti hiyo. Bi. Marytaus Mbawala akichangia mada. Na Dotto Mwaibale MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umesema bajeti ya mwaka 2017/2018 ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi iliyopitishwa na bunge haijatoa kipaumbele kwa mtoto wa kike. Hayo yalibainishwa na Ofisa wa TGNP, Veronica Magayane wakati akitoa mada kati...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.