Skip to main content

Posts

Showing posts from May 14, 2017

MBUNGE PROFESA JAY AMPINGA WAZI WAZI WAZIRI MWAKYEMBE

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay, ametoa maoni yake kuhusu ushauri wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe aliyewataka wasanii wa Tanzania kuacha kuimba nyimbo zenye jumbe za kisiasa kwani hawatafanikiwa. Profesa Jay ambaye ni rapa nguli wa kizazi kipya aliyewahi kuweka rekodi maalum ya albam yake ya ‘Mapinduzi Halisi’ iliyokuwa na jumbe zenye mlengo wa kisiasa na kijamii, amesema ameshangazwa na kauli ya Waziri. “Kuwaambia wasanii kuwa waimbe nyimbo za maisha yao tu na washindwe kuimba vitu vingine, maana yake unataka kutoa ‘green light’ kwa wasanii sasa waanze kuimba mambo ya mapenzi… nakupenda, nakupenda..,” alisema Profesa Jay. “Maana yake unaweza kuchochea kuhusu masuala ya mapenzi tu na kushindwa kufanya vitu vya kijamii ambavyo vingeweza kulipeleka taifa letu mbele. Mimi naamini msanii ana sauti kubwa na anaweza kupaza sauti positively na ikasaidia taifa letu ideologically (kiitikadi), socially (ki...

SERIKALI YAWAONEA HURUMA WENYE VYETI FEKI

Watumishi waliobainika na vyeti feki, watalazimika kusubiri mafao yao hadi utaratibu wa kuwalipa utakapofanyika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela Kairuki alitoa kauli hiyo jana bungeni wakati akijibu swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Amina Mollel. Amina alitaka kujua ni hatua gani zitachukuliwa ili kuwalipa mafao yao wafanyakazi waliobainika na vyeti feki. Waziri Kairuki alisema, ofisi yake itaandaa utaratibu wa mafao ya wafanyakazi hao na pindi utakapokamilika, watajulishwa na kulipwa haki zao. Aidha, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu, Anthony Mavunde, alisema kwamba seeikali inaendelea na mchakato wa kuunganisha mifuko ya jamii. Mavunde alisema hayo alipojibu swali la msingi la Mbunge wa Tabora Kaskazini (CCM), Almas Maige, aliyetaka kujua mchakato wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii, umefikia h...

IRINGA FARMERS PERCEPTION ON EAC AGRI-TRADE AND BUSINESS REGIME

The Iringa Civil Society organization (ICISO) Project Officer Fadhili Sengele (right), briefing the journalists about recent studies on Iringa Small Scale Farmers (SSFs) perception regarding the inclusive and beneficial EAC Agri-trade and business region yesterday. (Photo by Friday Simbaya) THE recent studies done by small scale farmers (SSFs) facilitation organizations among them, East and southern African small-scale farmers forum (ESAFF) and the national implementation partners MVWATA examined the implications of east Africa community (EAC) region and United Republic of Tanzania (URT)’s own policies and regulation on SSFs in the context of the east Africa cross-border agri-trade regime. The studies revealed that private sector organizations (PSOs) are more concern with the interests of large scale famer and transnational agri-investments than the concern of small scale farmers (SSFs). Iringa Civil Society organization (ICISO) Project Officer Fadhili Sengele, to...