Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) , na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tumeanza zoezi la Kutambua na Kusajili wakazi wa Manispaa ya Iringa. Zoezi limeanza tarehe 07/06/2017 na linatarajiwa kukamilika tarehe 05/07/2017. Zoezi linaanza saa 1 asubuhi hadi saa 11 Jioni. Zoezi litafanyika katika Vituo vya Usajili vilivyopo katika Kata zote 18 za Manispaa ya Iringa kwa mujibu wa Ratiba ilivyopangwa kila Kata imepangiwa siku 3 za usajili. Zoezi za usajili litahusisha wananchi wote raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Vitu vya Msingi anavyotakiwa kwenda navyo Mwananchi Raia wa Tanzania katika kituo cha usajili ni:- 1. Nyaraka halisi (original) na vivuli vya kuthibitisha uraia na umri wa Mhusika, 2. Cheti cha Kuzaliwa, 3. Pasi ya Kusafiria, 4. Vyeti vya Elimu ya Msingi na Sekondari, 5. Leseni ...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.