Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Dr.William D. Mafwere (kulia) akizungumza wakati BARAZA Maluum la Madiwani la Manispaa ya Iringa mkoani Iringa jana. Kulia kwake ni Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe na Naibu Meya mpya limemchagua Daddy Igogo Diwani wa kata ya Gangilonga. (Picha na Friday Simbaya) BARAZA la Madiwani la Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa limemchagua Daddy Igogo Diwani wa kata ya Gangilonga kuwa Naibu Meya mpya wa kwa kura 15 kati ya 26. Igogo aliyekosa mpinzani baada ya diwani wa kata ya Nduli kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bashiri Mtove kujitoa katika kinyang’anyiro hicho alishinda kwa kupata kura 15 na kunyimwa kura 11 kati ya kura 26 zilizopigwa. Uchaguzi huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Iringa tarehe 10.08.2017 siku ya Alhamisi na uliudhuriwa na wajumbe 26 waliopigakura, ambapo mgombea huyo ameshinda kwa kupata kura 15 za ndio huku kura 11 kati ya 26 zikiwa ni hapana. Kwa ushindi huo, Igogo anavaa viatu vya Diw...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.