Skip to main content

Posts

Showing posts from January 18, 2016

UNAJIFUNZA NINI KUPITIA PICHA HII

AMKA NA SIMBAYABLOG MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Tuma Maoni

DAILY BREAD LIFE CHILDREN HOME CELEBRATES ITS 10TH ANNIVERSARY!

District  Administrative Secretary of Iringa District, Martin Muluwafu  (with a microphone) making a keynote speech during the celebration. Student at Daily Bread Life secondary school entertaining during the celebration. A Tanzania gospel singer Ambwene Mwasongwe entertains during the anniversary.  The Pastor with Nyuki Street Gospel Ministry singing during the celebration. Pastor Dr. Floyd Parker of Teleios Ministry preaching the word of God during the anniversary with his interpreter on the right hand side. President/CEO of Eastern Industrial Supplies Inc. (EISI), Kip Miller making a speech during the celebration. Director General of DBL, Pastor Mpeli Mwaisumbe said the children’s home has at least 40 children since its establishment in 2005  through Daily Bread Life Ministries. Iringa District Commissioner (DC), Richard Kasesel...

JAMES KATORO AWASHUKURU WAKAZI WA KATA YA KAYENZE MANISPAA YA ILEMELA

Wazee wakimsimika James Katoro baada ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Kayenze katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG Katoro alichaguliwa kuwa diwani wa Kata hiyo katika uchaguzi uliofanyika Novemba 25,2015 kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Tukio hili limejiri jana katika Mkutano wa hadhara wa CCM kuwashukuru wakazi wa Kata hiyo kwa kumchagua Katoro kuwa diwani wa Kata hiyo. Wazee wakimsimika James Katoro baada ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Kayenze katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. Mchungaji Elias Lutalamamila (wa pili kulia) kwa niaba ya viongozi wa dini akimsimika James Katoro baada ya kuchaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Kayenze katika Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza. Diwani wa Kata ya Kayenze Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza James Katoro (CCM) akihutubia katika mkutano wa kuwashukuru wakazi wa Kata hiyo kwa kumchagua kuwa diwani wao. Aliahidi kushughulikia kero mbalimbali zilizo katika Kata hiyo ambazo ni pamoja na kero ya ma...