Watia nia Jimbo la Iringa Mjini kushoto ni Peter Mwanilwa, Micheal Mlowe, Mahamudu Madenge, Dk. Yahaya Msigwa, Frank Kibiki na Frederick Mwakalebela wakati wakiongea na waandishi wa habari kuhusu ukiukwaji wa kanunu za uchaguzi wa CCM. Madenge (katikati) akisoma kanunni hizo kwa wanahabari WAKATI Joto la uchaguzi likishuka na kupanda mkoani Iringa kada wa chama chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo na mtia nia kugombea ubunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM, Jesca Msambatavangu ametuhumiwa na makada wenzake wa chama hicho kwa kutoa r ushwa kinyume na matakwa ya maadili na kanuni ya chama hicho. Msambatavangu ametuhumiwa na makada wenzake 11 kati ya 13 ambao wameomba ridhaa ya kuwania kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CCM .
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.