Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (DED), Saada Malunde ZIKIWAZIMEBAKIA siku chache kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi (DED), Saada Malunde amewataka wanawake kudhibiti shahada zao za kupigiakura na wasikubali kurubuniwa kuuza shahada hizo. Alisema kuwa katika hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu oktoba mwaka huu wanawake mara nyingi wanatumika kisiasa na wanasiasa kwa rubuniwa kwa vitu vidogo. DED huyo alisema hayo wakati akifungua semina ya uongozi wa mwanamke katika kilimo, upatikanaji wa huduma za ugani na pembejeo za kilimo kwa wanawake wakulima mjini Mafinga jana. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Shirika la Land O' Lakes chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la watu wa Marekani (USAID) kupitia Mradi wa Ubunifu katika Masuala ya Kijinsia na kuimarisha Uhakika wa Chakula katika ngazi ya kaya. “Mujue kuwa mukizitoa shahada zena itakuwa mumeuza utu wenu kwa kipindi cha miaka mi...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.