Skip to main content

Posts

Showing posts from October 6, 2014

ITUNUNDU FC MABINGWA WA KOMBE LA SPANEST

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dk Leticia Warioba akimkabidhi kombe la ushindi wa ligi ya SPANEST, kapteni wa Itunundu Fc Hapa akikabidhi cheti cha ushindi Akiwavisha Itunundu FC medali za dhahabu

MKURUGENZI WA TFF MVELLA ATUPWA JELA MIAKA SITA

Mvella mwenye suti ya michezo siku moja kabla hajahukumiwa MAHAKAMA ya Mkoa ya Iringa jana imemtia hatiani    Mkurugenzi wa Sheria na Utawala wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvella baada ya kupatikana na makosa manne ya kuendesha biashara ya bima bila kibali.

Kweli kizungu ni kigumu wandugu!

Picah na Benjamin Kasenyenda Andongolile

NHC IMEZITAKA HALMASHAURI ZA MIJI ZITOE ARDHI KWA GHARAMA NAFUU

   Baadhi ya makazi duni eneo la Katanga nchini Uganda. (PICHA KWA MSAADA WA MTANDAO) Na Friday Simbaya, Iringa Ikiwa ni katika   kuaadhimisha siku ya makazi duniani Shirika la nyumba la taifa (NHC) katika juhudi ya kuunga mkono serikali ili kuondokana na makazi duni nchini lina mpango wa kujenga jumla ya nyumba 15,000 mpaka kufikia mwaka 2014/15.

Magazeti Leo Jumatatu