Skip to main content

Posts

Showing posts from May 1, 2014

MKURUGENZI WA HABARI ATOA UFAFANUZI TUZO YA JAJI WARIOBA

Na Magreth Kinabo, Maelezo Mkurugenzi  wa Idara  ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene amesema Jaji Joseph Warioba alitunukiwa tuzo ya muungano iliyotukuka   kwa kuwa alis tahili kupewa kama viongozi wengine na  kuwa kitendo si kumkejeli kama baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti  hivi karibuni.

WAZIRI WA FEDHA: BAJETI YA MWAKA 2014/2015 NI SH19.6 TRILIONI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na  Waziri wa Fedha, Saada Mkuya kwenye mkutano wa wabunge ambapo waziri wa fedha aliwasilisha mapendekezo na mwelekeo wa bajeti ya serikali  kwa mwaka fedha 2014/15, Dar es Salaam jana. Picha na Salim Shao Dar es Salaam.  Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

UKAWA: TUTAIDAI TANGANYIKA NJE YA BUNGE

Zanzibar.  Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya maandamano ya amani nchi nzima.

MAGAZETI LEO MEI MOSI

!