Mwakilishi wa ubalozi wa marekani David Feldmann akihutubia mamia ya wakazi wa vijiji vya tarafa ya Pawaga wakati sherehe ya kufunga mafunzo ya mradi wa kuwawezesha akina katika kilimo kupitia asasi ya mpango salama wa maendeleo ya vijana (SYDS) kwa ufadhili ya watu wa marekani. Alisema kuwa kilimo bora ni kile chenye kuleta tija na mafanikio. Jumla ya vikundi 43 vya wajasiliamali ambao ni sawasawa na wanawake na vijana zaidi ya 300 wa tarafa ya Pawaga wilayani Iringa, mkoa wa Iringa wamenufaika na mafunzo ya kuwezesha akina mama katika kilimo kutoka SYDS. Mafunzo hayo yaliendeshwa na asasi isiyo ya kiserikali ya mpango salama wa maendeleo ya vijana (SYDS) kwa ufadhili wa serikali ya marekani kupitia ubalozi wake nchini Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari wakati sherehe ya kufunga mradi huo wa mrejesho kwa vikundi, meneja mahusiano wa SYDS, Arnold Pangani alisema SYDS imejitoa kuendeleza mapambano dhidi ya changamoto zinazowakabili we...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.