Skip to main content

Posts

Showing posts from October 19, 2014

HALMASHAURI KUU YA CCM YAMTHIBITISHA MTENGA KUWA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA

Mtenga wa pili kulia akipiga makofi katika moja ya shughuli za chama hicho HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemthibitisha rasmi Hassan Mtenga kuwa Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa katika kikao chake kilichofanyika hivikaribuni mjini Dodoma.

CHADEMA YAFUNIKA IRINGA MJINI

Dk Slaa mbele ya wafuasi wa Chadema wa Iringa Mjini katika mkutano uliofanyika Mlendege mjini Iringa Sehemu ya vijana waliohudhuria Akisisitiza jambo CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanya mkutano katika uwanja mpana wa stendi ya mabasi ya Mlandege, mjini Iringa; mkutano uliolezwa na wapekuzi wa mambo ya siasa wa mjini hapa kwamba umevunja rekodi ya mikutano yote iliyowahi kufanywa na chama hicho mjini Iringa.

MKUTANO WA CHADEMA MLANDEGE MJINI UWANJA WATAPIKA...!

Mkutano wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo mjini Iringa Mlandege. Wazungumzaji wakuu hii leo ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar,Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa, Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.

JK ahitimisha Mafunzo ya Wakongo...Atunuku kamisheni kwa watanzani 23

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa Kitanzania 23 miongoni mwa maafisa 437 wa kundi la 53/13 – Kongo. Kundi hilo liliwajumuisha maafisa wa kitanzania wapatao 23 na wahitimu 414 kutoka Kongo.

JK OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALISTS

Tanzanian songbird Lady Jay Dee sings the National Anthem at the opening of  Gala Awards ceremony held at the Mlimani  City Conference Centre, in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014.  President Jakaya Kikwete,  Dr.  Mary  Michael  Nagu . Minister of State for Investment and Empowerment (to the President's right), Dar es salaam Regional Commissioner  Hon Said Meck Sadick,   Nico Meyer, CEO MultiChoice Africa, Deborah Rayner (second right), SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International (right), stand at attention as the national anthem is sung.  Part of the invited guests  Invited guests President Kikwete delivers his speech   Deborah Rayner  SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International speaks  Nico Meyer, CEO MultiChoice Africa speaks   CNN International's Isha Sesay co-host of  the show  Part of the invited guests  Capi...