Balozi Dkt. Augustine Mahiga ni mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuwa nyuma ya kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba kuna watu wanauwezo wa kurithi nafasi yake, lakini hawajajitokeza. Balozi wa kudumu katika umoja wa mataifa huyo amesema kuwa bado hajakataa wala kukubali ushawishi unaofanywa na makundi ya watu juu ya kuwania nafasi ya urais kupitia CCM katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.