MKOA wa Iringa umeweza kuchunguza kina mama 11,223 na kati hawa wanawake 512, (sawa na asilimia 4.6) waligundulika kuwa na mabadiliko ya awali na kupewa tiba katika kipindi cha kuanzia Januari 2014 mpaka Januari 2015. Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Uchumi, Mkoa wa Iringa, Adam Swai wakati wa mkutano wa kufunga na kutoa tathmini ya mradi wa kuhamasisha jamii kuhusu huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa shingo ya kizazi.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.