Skip to main content

Posts

Showing posts from September 20, 2010

ISSA MICHUZI NDANI YA NYUMBA

Mwanablogger mkongwe nchini Issa Michuzi (wa kwanza kuria) akiwa Mjini Iringa leo, wa kwanza kushoto ni wanablogger wengine Friday Simbaya na Francis Godwin wa Mjini Iringa. Bw. Michuzi yupo Iringa kwa ajili ya ziara ya kampeni za uchaguzi kwa Mgombea Urais Tanzania kuptitia tiketi ya CCM, Dkt. Jakaya Kikwete itakayoaanza kesho.

MNYIKA SUSPENDS KAPWANI

By Friday Simbaya, Iringa THE Acting General Secretary for Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika has given 14 days ultimatum to the former Chadema Chairman for Iringa Dr. Ben Kapwani indefinitely for being dissident to the party. Mnyika said, the former chairman has been also stopped from being a chairman for the region from immediate effect on 14th September, 2010 to answer charges and explain why he did not return nomination forms to the National Electoral Commission (NEC) for Isimani Constituency in Iringa District, Iringa Region. In that very constituency, William Lukuvi, who is also a Dar es Salaam Regional Commissioner has gone unopposed after the other candidates who contested for Isimani have failed to return their nomination forms to the returning officer for Iringa Distinct in the region. According to the General Secretary, Dr. Kwapwani has been stopped from being the chairman for Iringa Region from immediate effect because he has two allegatio...

KAPWANI ASIMAMISHWA UENYEKITI

KAIMU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bw. John Mnyika, amempa siku 14 aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa, Bw. Ben Kwapwani kutoa utetezi wake kwa maandishi kabla ya chama hicho hakitaja mwajibisha kwa kukikuka katiba ya Chadema. Mbali na agizo hilo, pia Bw. Kapwani amesimamishwa rasmi nafasi ya Uenyekiti wa Mkoa wa Chama hicho hadi hapo uongozi wa juu utakapojiridhisha kuhusiana na shutuma mbalimbali zinazomkabili kada huyo. Kwa mujibu wa barua ya Mnyika ya Septemba 14 mwaka huu aliyomwandikia Kapwani, ikiwa na kumbukumbu namba C.HQ/ADM/M/IR/05 inaeleza kuwa miongoni mwa mambo anayotakiwa kutolea maelezo ni pamoja na kushindwa kurudisha fomu ya uteuzi ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani. Shutuma nyingine zinazotakiwa kutolewa maelezo ni kuonekana kwake machoni pa umma akimnadi mgombea wa chama kingine wakati Chadema imesimamisha mgombea wake wa ubunge Iringa mjini ambaye anakubalika na wananchi wengi. Anadaiwa kumpig...